"Sajili za kitapeli" 2022/2023

Mbabani

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,171
3,359
Katika msimu huu wa 2022/2023 kuna klabu zimesajili wachezaji kwa gharama kubwa na wameshindwa kuonesha thamani yao halisi uwanjani lakini magazetini, mitandaoni na wanazi wa vilabu vyao wamekua wakiwapamba sana

1. Shinobu Sakai - Geita gold fc
2. Nelson Okwa - Simba Sc
3. Victor Akpan - Simba Sc
4. Ahmada - Azam Fc
5. Tapedinho - Azam Fc
6. Twisila Kisinda - Yanga
7. Bigirimana - Yanga
8. Augustine Okrah - Simba Sc
9. Ndoye - Azam Fc
10. James Kotei - Mtibwa
11. Shikalo - Mtibwa
12. Ismael Sawadogo - Simba Sc
13. Kambole - Yanga

Ongeza zako

NB: Simba bado haina kiungo mkabaji, Sawadogo, Mzamiru na Kanoute wanacheza mpira wa kufanana (kupenda kushambulia zaidi kuliko kulinda) hakuna mchezaji anayelinda backline.
 
Kwa upande wa Yanga, ni Gael Bigirimana na Kambole tu. Tuisila Kisinda bado ni mapema sana kumhukumu.

Na huyo Kambole mwenyewe unaambiwa ana goli 3 ndani ya mechi 2 tu huko Zambia anakocheza kwa mkopo! Hivyo uwe makini. Utakuja kuyajutia haya maneno yako.
Mimi sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana kwa muda ambao amecheza hakuna siku ameharibu game
 
Mimi sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana kwa mda ambao amecheza hakuna siku ameharibu game
Game time , na Nabi ni kama hakumtaka.

Sure na Mudathir wamepewa confidence na game nyingi kuliko yeye.

Inshort kocha hajamtaka na kumvumilia. Kisinda mpk kesho anapangwa,

Gael akidouble na Yanick au Aucho anacheza vizuri sana.

Anyway mawazo yangu tu
 
Kwa upande wa Yanga, ni Gael Bigirimana na Kambole tu. Tuisila Kisinda bado ni mapema sana kumhukumu.

Na huyo Kambole mwenyewe unaambiwa ana goli 3 ndani ya mechi 2 tu huko Zambia anakocheza kwa mkopo! Hivyo uwe makini. Utakuja kuyajutia haya maneno yako.
pia kisinda yupo kwa mkopo ni mchezaji wa berkane

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Ismael Sawadogo.
Augustine Okrah.
Hawa ondoa kwenye list huyo sawadogo bado mapema sana,Okrah kwa kiasi amedeliver ni mchezaji mzuri.
 
Yaani simba siku wakijjichanganya wakamuanzisha sawa dogo na kanoute kwa pambana kwenye mechi moja basi hapo lazima kadi nyekundu ihusike kwasababu yule sawa dogo anapiga buti kushinda hata kanoute.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Duh kwahiyo watakuwa wanashindana kupiga mabuti tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom