Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

u handsome ndo sifa ya mwisho kabsa mwanaume huambulia baada ya kukosa sifa za mwanaume. sifa halis ni akili na elimu, ujuz na maarifa, pesa na mali, hekma na busara, ujasiri na usimamizi, ubunifu na ujasiriamali. ukiona unawaza uzuri jua una dalili zote za ushoga kamuone dr kwa dawa ya kucontrol hormones haraka.
 
u handsome ndo sifa ya mwisho kabsa mwanaume huambulia baada ya kukosa sifa za mwanaume. sifa halis ni akili na elimu, ujuz na maarifa, pesa na mali, hekma na busara, ujasiri na usimamizi, ubunifu na ujasiriamali. ukiona unawaza uzuri jua una dalili zote za ushoga kamuone dr kwa dawa ya kucontrol hormones haraka.
Unadhani biblia ilivyo onyesha Yusuf alikuwa na mvuto, kwa hiyo Yusuf ni shoga halafu elewa sio kila mwanaume mwenye mvuto wa kiume ni shoga au hana hizo sifa apo juu, basi angalia Yusuf aliekua na mvuto kama alikuwa ana sifa zako ulizozitaja. Kumbuka uhandsome hautegami sura nzuri pekee kama watu wengi wanavyodhani pia inategemea umbo la kiume, sauti.n.k. mvuto ni karama ya muumbaji kama ilivo hekima, busara, akili, mali n.k
 
umezunguka kote umeishia kwenye ushoga,we ulisikia wapi mwanaume anakua na mvuto,mada hizi peleka insta na fb kwa vilaza wenzio
Tatizo unamini mahandsome wote ni mashoga sijui hizo fikra zenu mnazitoa wapi.afu soma vizuri sijahamasisha ushoga nimetoa fact za kisaikolojia.maana unaonekana mwenye wivi.mvuto ni karama ya muumba kama ilivyo kuwa kwa yusuf katika bible na sio ulimbwende kama wewe unavyodhani
 
u handsome ndo sifa ya mwisho kabsa mwanaume huambulia baada ya kukosa sifa za mwanaume. sifa halis ni akili na elimu, ujuz na maarifa, pesa na mali, hekma na busara, ujasiri na usimamizi, ubunifu na ujasiriamali. ukiona unawaza uzuri jua una dalili zote za ushoga kamuone dr kwa dawa ya kucontrol hormones haraka.
Umekufa akili (intelligence)unatembelea ubongo tu (brain)
 
Habari wana JF. leo katika pitapita zangu mtandaoni ni kakuta kisomo cha saikolojia kama kawaida nikaona nisiwe mchoyo acha nishare men wenzangu nao waonyeshe interest yao. kama ujuavyo men wengi tunakuwa ile ya kujichukulia poa yani mtu unajidharau unajiona kama vile hauvutii wanawake,hii kitu inapelekea baadhi ya wanaume kutanguliza pesa sana pale anapo approch ke ila tunasahau kwamba nao ke wanavutiwa na sisi.

Sasa nimekuja ishara ambazo zimehakikiwa na wanasayansi kwamba ukiziona zinatokea au zimewahi kutokea katika maisha yako ya kila siku,hakika wewe ni unavutia (handsome)bila ubishi.

1. Unaangaliwa sana, hivi umewahi kufuma watu au mtu wa jinsia yoyote ame makinika kukuangalia na pale unapomgekukia anakuwa anazuga labda kwa kukusalimia,kukupungia mkono au atakuambia amekufanananisha na mtu usiyemjua ,basi tambua unavutia.

2. Watu wa jinsia zote wanakuhuliza hili swali "una girlfriend/demu ? " .saikolojia inasema wanaumu wenye mvuto watu wengi wana amini wanakuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke fulani hata kama hana mpenzi.Basi kama umewahi kuhulizwa ili swali tambua wewe unavutia kuliko unavyofikiri.

3. Wanawake wanakusikiliza kwa makini pale unapo ongea. Wanawake kisaikolojia wanamakinika na wanaume wanao vutia tofauti na wasiokuwa na mvuto.

4. Wanaume wenzako wanakuiga staili za maisha yako kama mavazi, n.k. umewahi kufika sehemu either ni ofisini una anza kuhisi wanaume wenzako wa hiyo office wana anza kucopy vitukama, unyoaji, mavazi,o ngea yako basi tambua wewe unavutia kwa sababu watu wanapenda kucopy kwa wanao vutia ili nao wavutie.

5. Ukimsifia mtu wa jinsia yoyote mtu huyo anakuwa shauku na furaha sana. Saikolojia inasema watu huwa na furaha zaidi pale wanaposifiwa na mtu mwenye mvuto zaidi yao.

6. Wanaume wenzako wanakuambia wanatamani wangekuwa wewe. Umewahi kusikia marafiki zako wanakuambia wanatamani kuwa kama wewe basi tambua unavutia kwa sababu watu wanatamani kuwa kama watu wanaovutia zaidi yao.

7. Hausifiwi sana. Wanasaikolojia wanasema watu wanauvutia hawasifiwi sana kwa sababu watu hudhani wameshasifiwa sana kwa hiyo hata wakiwasifia ni kama kazi bure .

8. Watu wanapenda kuwa karibu yako au wanajaribu kuanzisha mazungumzo kwa Salamu. Hii sio kwa sababu wewe ni mkarimu sio bali unavutia. Saikolojia inasema jinsia zote zinapenda kuwa na marafiki wanaovutia ili na wao wapate kuvutia kama hao mabest zao. Wanaume wenzako waliokuwa kwenye mahusiano wanaleta hali ya shari au visa Umewahi kuona baadhi ya wanaume wenzako wakutangazia chafu, wana kupiga majungu au kukuponda pale wanapokuwa na wanawake au wanakuchukia bila kosa tena wanakuwa kama wanataka ushindani juu ya kuwin mademu atakama wewe hauna mpango huo basi tambua wewe unavutia ndomana wanakuona wewe ni tishio kwa mahusiano yao.

Unashobokewa au unafatwa na mashoga.hivi umewahi kufatwa na shoga katika historia ya maisha yako kama ndio tambua unamvuto wa kiume tena inawezekana wanawake wengi wamevutiwa na kimapenzi na wewe sema walishindwa kukufuata kama wanavyo fanya mashoga. Hii kwa sababu wanasaikolojia wa mambo ya sex wanasema mashoga huvutiwa na wanaume wenye mvuto ulio katka hali ya kiume zaidi kama ilivyo kwa wanawake yani male sex attraction.

Watu wanadhani wewe utakuwa unapenda wanawake(womenizer).umuwahi kukutoke watu wanakushutumu wewe unapenda mademu(womenizer) hata kama una demu mmoja au hauna kabisa .hii kwa sababu watu hudhani wanaume wanao vutia wanakuwa na sifa ya kuwa na mademu.

Watoto wadogo hasa wakike wanakuchangamkia, hivi hata wadogo hupenda watu wanaovutia .. Hizo juu ndo ishara zenyewe basi ukiona hata moja imekubali basi tambua wewe unamvuto wa kiume (handsome) .

Sasa kama umekubali uzi toa sintofahamu ilowahi kukuta katika maisha na jinsi ulivyokuwa kipofu kuchuka chansi za kuopoa watoto wakali na kama hauna stori wewe gonga like tu
Ambao hatuna sifa yeyote kati hizo mnatushaurije?
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea .

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
Nina mdogo wangu anasumbuliwa vibaya mno na shoga flan halafu huyo shoga yupo ofisi moja na mjomba wetu hapa tunamtiatia mikwara asipoelewa tutafikisha taarifa kwa ankor ushahidi wote tunao
 
Mwanamume kuanza kufikiria huu upuuzi wa mvuto na kuvutia ndio mwanzo wa kuanza kupaka vipodozi vya kina, kushinda kwenye vioo, kufanya mikogo "mapozi" ya kianamke na mwisho ni kuliwa Tigo.
sasa huo ni ushoga sio usmati.afu tofatisha mwanaume mtanashati na mwanaume mwenye pigo za kike
 
Back
Top Bottom