Safari ya CDM kumwona JK

Dah Comment zako mkuu ni za ukweli sana yan zimeendana sana na picha zao. Merry X-Mass.
 
UUWIII!
Rais we2 hapendi kusomasoma ndio maana hata hajui kwann nchi anayoiongoza ni maskini!
POYOYO!
 
ama kweli duniani kuna vituko yaani nimecheka mpaka nikaamua sasa nitoke kwenye jamii forum naweza umwa hao jamaa walioweka hizo comment sijui wakati huo walikuwa wanawaza nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom