2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,692
Sadio Mane only received a Yellow card for this tackle on Ivory Coast and Nottingham forest midfielder Ibrahim Sangare.
Ushamba wa Refa au jinaAlistahili umeme, Jina na u umembebaa.
Nilicho kiandika.Ushamba wa Refa au jina
Hili ndo jibu sahihiAlistahili umeme, Jina na u umembebaa.
Sadio mane only received a yellow card for this tackle on Ivory Coast and Nottingham forest midfielder Ibrahim Sangare.
View attachment 2887651
Yah ustar umembebaAlistahili umeme, Jina na u umembebaa.
ALikuwekea chuma kingine? 😁Ndio hajapewa kaa kwa kutulia shabiki la ivory coast na atawaweka chuma ya pili mwenyewe
ile ilikua red card bila maelezo yoyote refa ndio alizingua kuna namna ata penati alitaka kuwanyima bila kushinikizwa na watu wa VAR ile penati alikua anapetaWatu wana mahaba na Sadio Mane kuliko ukweli...
Alitaka awabebe..ile ilikua red card bila maelezo yoyote refa ndio alizingua kuna namna ata penati alitaka kuwanyima bila kushinikizwa na watu wa VAR ile penati
Endelea kuelimisha ndgu muhasibu.Deserved sio deserve. Lugha za watu hizo
Sio kwa ubaya mkuuEndelea kuelimisha ndgu muhasibu.
Hata mimi nimejua hilo ndgu, wewe ni msomi unaetegemewa na jf ndio maana nimekuasa uendelee kutoa elimu.Sio kwa ubaya mkuu
Haswaaah.Hili ndo jibu sahihi