Sabasaba ni barua ya CCM ndani ya bahasha ya biashara?

locust60

Senior Member
Oct 1, 2008
101
12
Wandugu naomba mnisadie kufahamu historia ya sabasaba na uhusiao wake na maonyesho ya biashara nimekuwa nikiangalia picha za matukio ya jana yaani 7/7/2011 kwenye vyombo kadhaa ya habari cha kushangaza kutokuwa na makazo au msisitizo kwenye habari au matukio ya biashara kitu ambacho kimenipa maswali ambayo ndio nahitaji msaada wenu.Moja kwanini siku hii iwe ni siku ambayo chama cha TANU ndio kilizaliwa?.Mbili kuna umuhimu wa kuwa na mapumziko kwenye siku hiyo?
 
Back
Top Bottom