RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,861
- 2,754
Mkuu wapenzi na wanachama wa CCM wanaomuunga mkono Simbachawene na Mawe Matatu wameapa kutompigia Magufuli Mpenda sifa huku anawadhalilisha mawaziri wenzie ...
Kwa mipangilio mibovu ya kampen na kuto kukubalika kwa ccm kwa watanzania, Hakika maguli hawez kuwa rais wa Jmt yan ni jambo gumu sana, kifupi haiwezeka coz hakubaliki kabsa kwa watanzania namuonea huruma sana, na akipata kura milion 3 ntahama jiji