Saa 6:00 ya leo hii 1/1/2024 imekukuta ukiwa wapi na unafanya nini?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Heri ya Mwaka Mpya, 2024. Hatimaye tumeingia kwenye mwaka unaogawanyika kwa 2, mwaka wenye mafanikio

Tupa kule habari za mwaka jana, 2023, uliopita ndani ya dakika 10 zilizopita

Mwanzo wa mwaka 2024 umekukutia ukiwa wapi na unafanya nini? Na je, ni jambo lipi ulilofungia mwaka 2023, mwaka uliokuwa wa kigaidi

Wekeni Picha pia..

Mwaka huu umenikutia hapa ndani tukiwa tumenuniana na shemeji yenu, baada ya mwaka huu kuanza, tumelipuka vicheko na vifijo vya kila aina kana kwamba hatukuwa na ugomvi wowote ule. Mungu ni Mwema. Mwaka huu umeifungua upya ndoa yangu. Wacha tuingie kwenye mizagamuano ya baada ya miezi mi4 kupita bila kuichapa
 
Nipo mezani home nafanyakazi
 
Nimefulia, imenikuta magetoni nafuatilia yanayoendelea JF

images - 2024-01-01T001702.833.jpeg
 
Nipo huku

Rooftop-- Gran melia hotel- Simeoni road Arusha Tanzania .

Nimeshikilia pisi yangu ya chuga isiyo na mawaha a.k.a manka
 
Back
Top Bottom