Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 754
Kampuni ya ryanair ya huko Uk,ipo mbioni kuanzisha huduma ya kuangalia picha za ngono kwenye ndege zake!na hii ni kwa ajili ya kuvutia biashara,kutakuwa na vifaa maalum sio zile screen nyuma ya viti zitakavyo tumika kuangalia.utaweza tumia kama Ipads au smartphone ku ingia kwenye mtandao wao ndani ya ndege na kuona huduma mbalimbali za kingono.