RWANDA yapokea Boeing mpya ya kwanza, ya pili iko njiani

Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,067
2,197
Wakuu mkitaka kujua ni jinsi gani Tanzania tulivyohopless angalia Rwanda. Wameweza kununua ndege mbili mpya katika miaka 15, lakini sisi mpaka leo tunatumia Boeing zilizochoka kweli, ambazo zipo toka enziya mkoloni na shirika limefirisika.

Kila siku nasema ukitaka kuangalia how hopeless we are, just look at Rwanda. Sasa i am begining to worry kuwa tumefika pabaya kupita kiasi, no doubt tuko pabaya.

Pekua IPP usome habari zaidi.
 
rwandair-737-800.jpg
 
Hivi nchi kununua ndege ndio maendeleo? Basi mi nilijua kuna vipaumbele tu na nchi inaweza kuwa na ndege mia tisa lakini bado wananchi wake wanataabika! Kwanza wangapi wanasafiri na ndege katika nchi zetu masikini hizi, bora kupeleka nguvu kwenye maisha halisi ya wananchi ( Sisiemi kama hili TZ tumeweza!)
 
RwandAir becomes first African carrier to own and operate 737 800 with Boeing Sky Interior
SEATTLE, Aug. 25, 2011 /PRNewswire/ - Boeing (NYSE: BA) today delivered a Next-Generation 737 with the new Boeing Sky Interior to RwandAir, making it the first African carrier to own and operate Boeing's innovative interior. The delivery also is the first direct-purchase 737 in RwandAir's fleet.
"This new interior will set RwandAir apart from our competition by bringing a new, unmatched flying experience to our valued customers," said John Mirenge, CEO of RwandAir.

The Boeing Sky Interior introduces new cove lighting and curving architecture that create a distinctive entry way. Passengers will enjoy a more open cabin and a soft blue sky overhead simulated by light-emitting diode (LED) lighting. The new interior also brings new, modern, sculpted sidewalls and window reveals to draw passengers' eyes to the view outside the window.
"Today is a proud day for RwandAir as well as the country of Rwanda," said Dr. Alexis Nzahabwanimana, Minister of Transport for Rwanda. "Being the first airline on the African continent with the Boeing Sky Interior certainly puts Rwanda at the forefront of the aviation industry in Africa today and beyond."
As part of Boeing's Humanitarian Delivery Flights program, Boeing partnered with RwandAir and Operation USA on this delivery [COLOR=#7da7d9 !important][COLOR=#7da7d9 !important]flight[/COLOR][/COLOR] to deliver 1,500 science and other educational books to the Rotary Club of Kigali. The science books will be accepted by Rwanda's Ministry of Education and distributed to high schools and [COLOR=#7da7d9 !important][COLOR=#7da7d9 !important]universities[/COLOR][/COLOR] throughout the country. The remaining books will be distributed to the Kigali Public Library – Rwanda's first public library.
Operation USA is an international relief agency that helps [COLOR=#7da7d9 !important][COLOR=#7da7d9 !important]communities[/COLOR][/COLOR] around the globe overcome the effects of disasters, disease and endemic poverty. Since 1979, the organization has been providing privately-funded relief, reconstruction and development aid by working with grass-roots partners to provide material and financial assistance necessary in the face of a disaster as well as to combat the effects of systemic poverty.
Operating from Kigali as its hub, RwandAir's fleet includes two Boeing 737-500s, two CRJ200s and a Dash8-200. The carrier serves most East African Community capital cities with daily flights and it flies to Johannesburg, Brazzavile, Libreville and [COLOR=#7da7d9 !important][COLOR=#7da7d9 !important]Dubai[/COLOR][/COLOR].
"With this new airplane, RwandAir will provide our passengers with unmatched reliability and the most unique flying experience in the sky today," said Mirenge. "We are confident our customers will look back on their flight with enthusiasm and excitement for their next flight."
Source and image: Boeing

Boeing Sky Interior.JPG
 
Hivi nchi kununua ndege ndio maendeleo? Basi mi nilijua kuna vipaumbele tu na nchi inaweza kuwa na ndege mia tisa lakini bado wananchi wake wanataabika! Kwanza wangapi wanasafiri na ndege katika nchi zetu masikini hizi, bora kupeleka nguvu kwenye maisha halisi ya wananchi ( Sisiemi kama hili TZ tumeweza!)

...kwa watu kama wewe bado safari ni ndefu sana!
 
Wakuu mkitaka kujua ni jinsi gani Tanzania tulivyohopless angalia Rwanda. Wameweza kununua ndege mbili mpya katika miaka 15, lakini sisi mpaka leo tunatumia Boeing zilizochoka kweli, ambazo zipo toka enziya mkoloni na shirika limefirisika.

Kila siku nasema ukitaka kuangalia how hopeless we are, just look at Rwanda. Sasa i am begining to worry kuwa tumefika pabaya kupita kiasi, no doubt tuko pabaya.

Pekua IPP usome habari zaidi.

Du...nilikuwa sijui....kumbe kununua ndege ni maendeleo......hivyo inainua viwango vya maisha vya wananchi wa kawaida wa nchi husika....
 
Du...nilikuwa sijui....kumbe kununua ndege ni maendeleo......hivyo inainua viwango vya maisha vya wananchi wa kawaida wa nchi husika....

Chukua mfano wa wewe unatembea kutoka Mbagala hadi kariakoo wa miguu kwenda kuuza bidhaa na yule anayekwenda na baiskeli sehemu hiyo hiyo..nani ana maendeleo..

Pia chukua mfano wafanayakazi wa ATC wanaosota ubao bila kazi na kulipwa bure kwa ruzuku na wale wa RwandaAir ambao watakuwa wanahudumia wateja..nani ana maendeleo?
 
Hivi nchi kununua ndege ndio maendeleo? Basi mi nilijua kuna vipaumbele tu na nchi inaweza kuwa na ndege mia tisa lakini bado wananchi wake wanataabika! Kwanza wangapi wanasafiri na ndege katika nchi zetu masikini hizi, bora kupeleka nguvu kwenye maisha halisi ya wananchi ( Sisiemi kama hili TZ tumeweza!)
ndiyo nchi kununua ndege sio maendeleo maendeleo ni kununua herikopta za kampeni, nadhani ulikuwa unachangia hii mada wakati unasikiliza hotuba ya jk
 
Wakuu mkitaka kujua ni jinsi gani Tanzania tulivyohopless angalia Rwanda. Wameweza kununua ndege mbili mpya katika miaka 15, lakini sisi mpaka leo tunatumia Boeing zilizochoka kweli, ambazo zipo toka enziya mkoloni na shirika limefirisika.

Kila siku nasema ukitaka kuangalia how hopeless we are, just look at Rwanda. Sasa i am begining to worry kuwa tumefika pabaya kupita kiasi, no doubt tuko pabaya.

Pekua IPP usome habari zaidi.

Hongera kwa Rwanda kununua ndege 2....

Lakini pia nakuomba mtoa habari utuelimishe zaidi juu ya hiyo miaka 15 uliyotaja, kwa maana Rwanda ilipata uhuru kutoka kwa wa-Belgiji mwaka 1962 ambayo kwa sasa ni jumla ya miaka 49.

Au ulikuwa unamanisha nini?
 
Back
Top Bottom