Rwanda defence chief leads DR Congo rebels, UN report says

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
Rwanda's defence minister is effectively commanding a rebellion in the Democratic Republic of Congo, UN experts say.

The confidential report, leaked to Reuters agency, says Uganda is also backing the M23 rebels, who have been fighting the DRC's army since April.
The document builds on a UN report published in June which accused Rwanda of supporting the insurgents.
Rwanda and Uganda strenuously deny supporting the rebellion.
The BBC's Barbara Plett, at the UN, says that during the past two decades Rwanda has backed armed groups in the east of DR Congo as a way to fight Hutu rebels who fled there after the genocide of the 1990s.
Some accuse Rwanda of using militias as proxies in an on-going battle for the region, which is rich in minerals, our correspondent adds.
'Co-ordinated the rebels' The latest report by the UN Security Council's Group of Experts provides more details of Rwanda's alleged continued involvement.
It says M23 leaders "receive direct military orders" from Rwanda's chief of defence staff, Gen Charles Kayonga, "who in turn acts on instructions from the minister of defence", Gen James Kabarebe.

It also says Kigali has supplied the M23 with heavy weapons and stepped up recruitment for the group.
Both Rwandan and Ugandan officials have strongly denied the accusations made in the report.
Olivier Nduhungirehe, a senior Rwandan diplomat at the country's UN mission, said the United Nations experts had been "allowed to pursue a political agenda that has nothing to do with getting at the true causes of conflict in the eastern DRC".
Uganda's foreign minister, Henry Okello Oryem, told the BBC that the UN was seeking to blame others for the failure of its own peacekeeping force in the eastern Congo.
But the the DRC's ambassador to the UK, Kikaya Bin Karubi, said the UN "must act" on the basis of the report.
He told the BBC's Newsday programme: "When the chief of staff of an army, a minister of defence of a country creates a rebellion, supplies weapons, sends troops to fight against a legitimate government across the border, I think this is serious."
The report - seen by Reuters news agency on Tuesday - says army units from Rwanda and Uganda have helped M23 expand its control of territory in eastern DR Congo.
"Both Rwanda and Uganda have been supporting M23," according to the 44-page report.

"While Rwandan officials co-ordinated the creation of the rebel movement as well as its major military operations, Uganda's more subtle support to M23 allowed the rebel group's political branch to operate from within Kampala and boost its external relations," it said.
The UN report says former Congolese General Bosco Ntaganda controls the rebellion on the ground and M23 leader Col Sultani Makenga is in charge of co-ordination with allied groups.
But it says M23's de facto chain of command culminates with Rwanda's defence minister.
 
Naona wanatafuta namna ya kum-FIX President Kagame, kwa sababu haiwezekani, CDF of Rwanda na waziri wa ulinzi wafanye vitu kama hivyo, halafu Kagame asijuea, 'wazungu' wanafitina sana...
 
Naona wanatafuta namna ya kum-FIX President Kagame, kwa sababu haiwezekani, CDF of Rwanda na waziri wa ulinzi wafanye vitu kama hivyo, halafu Kagame asijuea, 'wazungu' wanafitina sana...

Wazungu wanafitina haya subiri utaona mwisho wa Kagame ni nini
 
Naona wanatafuta namna ya kum-FIX President Kagame, kwa sababu haiwezekani, CDF of Rwanda na waziri wa ulinzi wafanye vitu kama hivyo, halafu Kagame asijuea, 'wazungu' wanafitina sana...

iyo report yao imebase kwenye assumptions sana na sio facts kama wanavyodai kwasababu kusema tu Rwanda is backing up the M23 rebels interms of weapons or recruiting new militia groups while you cant verify it is nonsensical in did,kwasababu kwa nini msiwakamate red handed wakose pa kujitetea?kila siku nikusema wanawasaidia lakini kuthibitisha hawawezi,huu ni upuuzi na propaganda zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
ByaseL, MD25, bornagain, kibol,

..lakini suala hili linajulikana tangu mwaka 99 wakati Kagame akishirikiana na mataifa ya magharibi walipoamua kumpindua Mzee Laurent Kabila[r.i.p].

..vita ile ilikuwa ni kujaribu kumuweka mtu atakayeruhusu uporaji wa rasilimali za DRC, na Rwanda/Kagame ndiye aliyekuwa wakala wa mradi huo ktk eneo la maziwa makuu.

..nchi za magharibi zimeshamtumia Kagame vya kutosha, sasa zimeamua kuachana naye. mchezo anaochezewa Kagame ni sawa na ule aliochezewa Saddam Hussein ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa Marekani wakati wa utawala wa Ronald Reagan.

..asipoangalia huyu ataishia kupelekwa mahakama ya kimataifa kama Charles Taylor.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mnategemea rwanda au uganda wakubali?

Kipindi tz inamsupport kabila kumng'oa mobutu au support tuliyompa m7, tungekuwa tayari kukiri hadharani kuwa tunawa support!
 
Hapa kuna masharti Kagame amekataa ndoo maana wanajifanya kugundua leo. Hakuna jipya lolote katika madai haya kwani ni nyimbo za muda mrefu. Wakiambiwa watoe evidence za misaada hiyo wanatoa macho. Wazungu hawamtaki Kagame kwani ni rais wa kweli katika Afrika. Na M7 wamemchoka amekaa sana madarakani sasa wanaanza kumtafutia station ili nae wang'oe kabla hajaingiza mtu wake madarakani. Wazungu ni wahuni sana. Mbona Somalia wapo kimya hawatoi report ya nani anasupport Alshabab. Na wao kusupport wahuni wa Bengazi hadi wametwaa nchi hiyo siyo mbaya, na sasa wanasupport wahuni wengine Syria ili wachukue nchi hio siyo mbaya ila Rwanda ndoo wanaihisia inasupport M23 na dhambi ya asili. Uhuni wa kimataifa huu
 
Back
Top Bottom