Rwanda blocks proposed U.N. sanctions for two Congo rebels

parachute

Member
Oct 19, 2012
75
39
[h=1]Rwanda blocks proposed U.N. sanctions for two Congo rebels[/h]

r

By Louis Charbonneau
UNITED NATIONS | Wed Aug 28, 2013 8:04pm EDT

(Reuters) - Rwanda blocked a joint U.S.-French proposal to impose U.N. sanctions on two senior commanders in the M23 rebel group in easternCongo, arguing that the evidence against the men was weak, Rwandan and other U.N. envoys said on Wednesday.
The latest diplomatic wrangling in New York came as U.N. helicopters and artillery attacked M23 rebel positions near the city of Goma in eastern Democratic Republic of Congo on Wednesday in support of an offensive by the Congolese armed forces. One U.N. peacekeeper from Tanzania was killed and three other blue-helmeted troops were wounded.
mention_en.png

The United States and France submitted documents to the U.N. Security Council's Congo sanctions committee last week explaining why M23's Colonel Vianney Kazarama, military spokesman for the rebel group, and Erick Mboneza, an M23 commander, should be hit with U.N. sanctions.
Among other things, those documents, seen by Reuters, cite a July Human Rights Watch report that accused Mboneza of ordering the summary execution of a 24-year-old man he said was a thief.
The documents also refer to a U.N. Group of Experts report that says Mboneza and an M23 Colonel Kaina, who is already subject to a U.N. travel ban and asset freeze for his activities in the rebel group, were seen meeting with Rwandan military officers between March and May 2013.
The Group of Experts has repeatedly accused Rwanda of supporting M23, an allegation Kigali vehemently rejects. The cross-border accusations underscore the M23 rebellion's roots in a complex web of local politics and regional conflicts over ethnicity, land and minerals.
Rwanda's deputy U.N. ambassador, Olivier Nduhungirehe, told Reuters that Kigali blocked the proposed blacklisting because it would have undermined regional efforts to bring peace to eastern Congo and Kampala talks between M23 and Congo's government.
He added that the evidence supporting the U.S.-French proposal was "very poor."
Diplomats said Rwanda, a temporary council member, was the only one of the 15 member nations that opposed the idea of blacklisting the two men.
The Security Council's sanctions committee works on the basis of consensus, which means Rwanda was able to singlehandedly block the proposed blacklisting.
In theory, council members could vote on the blacklistings in a Security Council resolution that Rwanda would be unable to block. It was not clear if the council was prepared to do that.
'DEEPLY REGRETTABLE'
Separately, Rwanda has repeatedly rejected council efforts to issue a public statement condemning M23 attacks on U.N. peacekeepers last week, U.N. diplomats said. Rwanda complained that the Western-drafted statement was unbalanced and unfairly targeted the M23 while ignoring attacks by the Congolese army.
Kigali initially criticized the statement for not mentioning shelling onto Rwandan territory last week, though later drafts, all seen by Reuters, did ask for the council condemn the firing into Rwanda.
A new draft of the statement was rejected by Rwanda on Wednesday. A Rwandan delegate said in an email to other Security Council members that it could not support some of the language in the latest draft text.
One council delegation responded to the Rwandan rejection by saying , "It would be the first time when attacks on U.N. peacekeepers are not condemned by the Security Council. This situation is deeply regrettable," according to a copy of the email, seen by Reuters.
But Nduhungirehe said negotiations on a statement were continuing. "We are now close to an agreement," he said.
A 3,000-strong U.N. intervention brigade, with a tough new mandate to protect civilians and neutralize armed groups in the mineral-rich central African nation, sprang into action last week after it accused the M23 rebels of shelling Goma. The violence has been escalating there in recent days.
(Reporting by Louis Charbonneau; Editing by Cynthia Osterma
Rwanda blocks proposed U.N. sanctions for two Congo rebels | Reuters
 
Pole sana mwanajeshi wetu uliyetangulia mbele ya haki.aluta continua.
 
Hakika Watanzania wote tungelikuwa na ufahamu wa hali ya juu kama mwenzetu huyu, tungeweza kuhoji mambo yanayofanyika vizuri zaidi....tusingeburuzwa hovyo..... hakika tungelikuwa mbali sana........

Bodi
Nimesema mara Nyingi sana. Tanzania au Afrika mashariki zinapigana vita isiyowahusu. Hizi vita zote au nyingi za afrika zinaendeshwa na mataifa makuu ambayo yanajichukulia raslimali za Congo bure kwa miaka nenda rudi. Madini yapatikanayo Congo ndiyo yanayotumika kutengenezea simu zote za Mkononi duniani, na Mabomu makubwa ya kivita duniani. Bomu la Hiroshima, lilitengenezwa na mali gafi toka Congo.liliwaua WaJapani wengi mno.

Utengano wa Nchi zote za Kiafrika zinasababishwa na umilikaji wa haya mali gafi ya Africa. pamoja na madini yote makuu kama dhahabu, Almasi, uranium,Platinum you name it. Kutokana na udhaifu wa Maraisi wetu wasioona mbele na kufuatilia historia ya Ubepari, ukoloni, na uhujumu wa Africa, bado wananunuliwa kwa vijisenti na hao hao watu, na kinyima Africa maendeleo. maraisi wengi wapo raddhi kutoa utajiri wetu mkuu kwa hawa mabepari na kumlimbikiza Mwafrika aliyesoma na kuyaona haya matatizo kinaganaga. Maraisi wetu watatumiwa na hawa vibaraka kuwaua Waafrika wanaopinga uhujumu huo, Kuwanyanyasa, kuwanyima vyeo,na hata kuwabambikiza kesi zisizo na maana na kuwafyatulia risasi hadharani kinyama kwa sababu wanalindwa na hao hao mabeberu na mabepari. Hao Wafaransa mnaowataja ndi walioleta dhana za kivita kuwaua wanyarwanda wakisaidiana na maofisa na maraisi wa Congo wenyewe, wakipigania umiliki wa madini Congo kati yao na Wamarekani.

Congo si maskini. maraisi wote isipokuwa Patrice Lumumba alitetea haki ya Wakongo. Lakini aliuawa na mataifa haya makubwa kwa kutetea madini na utajiri wa Congo. Hakuna raisi mwingine yeyote wa Congo aliyewatetea Wacongo, Wote ni vibaraka watupu. Congo inautajiri wa madini makuu yenye thamani kubwa kuliko nchi yeyote duniani. Vibaraka wanakwenda ubia na mabeberu kuiweka Congo kwenye umaskini kama kuku.

Sasa Tanzania na Malawi na Africa ya Kusini mnatumika kupigana vita msiyoijua. Kwa nini tupoteze Askari wetu kwa maslahi ya Wazungu. Kagame anajua hiyo pia.Tuwatafute maraisi wenye kisomo cha hali ya juu, wenye kujua historia safi ya ugawanyaji wa Afrika kwa manufaa ya mataifa makubwa. Utajiri wa mataifa makubwa mengi unategemea maligafi ya Africa, na wanafanya kila kitu kuibomoa afrika Wakijua wengi wetu ni mambumbumbu hatusomi na kuyafuatilia masuala haya. amkeni Waafrika wenzangu. amkeni Watanzania wenzangu. Tunarudishwa nyuma kimaendleo kwa kutokujielimisha wenyewe , kwa uchu wa pesa, ujinga wa fikra, woga wa kujitetea wenyewe, kama tunavyoona Mawaziri wetu na Maraisi wetu kutokuwataja wauza unga huku wanawajua wote wahusika.

Ukimya, woga, kukosa Ushujaa, majivuno kama binadamu kamili,Kutokujiamini na uduni wa Kielimu na uvivu wa kufikiri, ni Sumu kwa waafica wote na inazidi kutuzorotesha, kutugawa,kutuua, kutuibia, kutufanya tuwe chini ya Wazungu, na kutufanya bado tuwategemee wazungu kwa kila kitu.
 
Maji ya chai, hiyo historia ni sehemu tu ya historia inayoathiri Africa, maziwa makuu na CONGO pia. Tanzania kama sehemu ya umoja wa afrika na wa mataifa pia tuyalituma majeshi kumkomboa mwafrika (mkongo) kama tulivyofanya kwa nchi za kusini mwa africa. Hatutakiwi kuogopa kwa hili kwani hao wazungu hawata iheshimu Africa kama sisi wenyewe waafrika hatutaonesha kuwa siyo watu wa kuchezewa. Na hao vibaraka kama Rwanda au M23 ambao wanaweza wakawa wanasaidiwa na nchi za magharibi ili kuleta machafuko katika nchi zetu, ni lazima tupambane nao. Hakuna ukombozi wowote wa kijeshi ambao unaweza kuepuka kupoteza maisha ya askari. hata marekani ilipoteza maelfu ya wanajeshi wake huko iraq na afghanistan. Therefore, kuna faida nyingi kutuma majeshi kuliko kutokutuma. Afrika itakuwa sehemu hatari kuishi siyo kwa sababu ya wahalifu kama akina kagame, bali kwa sababu ya watu au mataifa ambayo hayako tayari kuitetea haki ya raia wa africa (eg. drc) hata kwa gharama ya kutuma majeshi na kupambana na watu watata kama M23. Wazungu wanajua waafrika ni rahisi kusaliti wenzao. na waafrika wanasaoliti kwa vile wanahisi kuwa chance ya kushughulikiwa na majeshi ya africa na waafrika wenyewe ni ndogo. usihofu, tutashinda. na historia itatupongeza watanzania.
 
Though in this I am not supporting Rwanda, it doesn't cease to amaze me how courageous and upright the Rwandans are. This is the first time I hear African diplomats reject a Mzungu proposal saying it is a rubbish! I am really impressed by the intelligence of the Rwandans. Most Africans so-called diplomats would have cowed and overrawed by the Mzungu and end up signing up whatever. Congratulations Rwanda. As I say, I do not support Rwanda in its interference in DRC and its open support of the M23 as shown here.

r

By Louis Charbonneau
UNITED NATIONS | Wed Aug 28, 2013 8:04pm EDT

(Reuters) - Rwanda blocked a joint U.S.-French proposal to impose U.N. sanctions on two senior commanders in the M23 rebel group in easternCongo, arguing that the evidence against the men was weak, Rwandan and other U.N. envoys said on Wednesday.
The latest diplomatic wrangling in New York came as U.N. helicopters and artillery attacked M23 rebel positions near the city of Goma in eastern Democratic Republic of Congo on Wednesday in support of an offensive by the Congolese armed forces. One U.N. peacekeeper from Tanzania was killed and three other blue-helmeted troops were wounded.
mention_en.png

The United States and France submitted documents to the U.N. Security Council's Congo sanctions committee last week explaining why M23's Colonel Vianney Kazarama, military spokesman for the rebel group, and Erick Mboneza, an M23 commander, should be hit with U.N. sanctions.
Among other things, those documents, seen by Reuters, cite a July Human Rights Watch report that accused Mboneza of ordering the summary execution of a 24-year-old man he said was a thief.
The documents also refer to a U.N. Group of Experts report that says Mboneza and an M23 Colonel Kaina, who is already subject to a U.N. travel ban and asset freeze for his activities in the rebel group, were seen meeting with Rwandan military officers between March and May 2013.
The Group of Experts has repeatedly accused Rwanda of supporting M23, an allegation Kigali vehemently rejects. The cross-border accusations underscore the M23 rebellion's roots in a complex web of local politics and regional conflicts over ethnicity, land and minerals.
Rwanda's deputy U.N. ambassador, Olivier Nduhungirehe, told Reuters that Kigali blocked the proposed blacklisting because it would have undermined regional efforts to bring peace to eastern Congo and Kampala talks between M23 and Congo's government.
He added that the evidence supporting the U.S.-French proposal was "very poor."
Diplomats said Rwanda, a temporary council member, was the only one of the 15 member nations that opposed the idea of blacklisting the two men.
The Security Council's sanctions committee works on the basis of consensus, which means Rwanda was able to singlehandedly block the proposed blacklisting.
In theory, council members could vote on the blacklistings in a Security Council resolution that Rwanda would be unable to block. It was not clear if the council was prepared to do that.
'DEEPLY REGRETTABLE'
Separately, Rwanda has repeatedly rejected council efforts to issue a public statement condemning M23 attacks on U.N. peacekeepers last week, U.N. diplomats said. Rwanda complained that the Western-drafted statement was unbalanced and unfairly targeted the M23 while ignoring attacks by the Congolese army.
Kigali initially criticized the statement for not mentioning shelling onto Rwandan territory last week, though later drafts, all seen by Reuters, did ask for the council condemn the firing into Rwanda.
A new draft of the statement was rejected by Rwanda on Wednesday. A Rwandan delegate said in an email to other Security Council members that it could not support some of the language in the latest draft text.
One council delegation responded to the Rwandan rejection by saying , "It would be the first time when attacks on U.N. peacekeepers are not condemned by the Security Council. This situation is deeply regrettable," according to a copy of the email, seen by Reuters.
But Nduhungirehe said negotiations on a statement were continuing. "We are now close to an agreement," he said.
A 3,000-strong U.N. intervention brigade, with a tough new mandate to protect civilians and neutralize armed groups in the mineral-rich central African nation, sprang into action last week after it accused the M23 rebels of shelling Goma. The violence has been escalating there in recent days.
(Reporting by Louis Charbonneau; Editing by Cynthia Osterma
Rwanda blocks proposed U.N. sanctions for two Congo rebels | Reuters[/QUOTE]
 
Hakika Watanzania wote tungelikuwa na ufahamu wa hali ya juu kama mwenzetu huyu, tungeweza kuhoji mambo yanayofanyika vizuri zaidi....tusingeburuzwa hovyo..... hakika tungelikuwa mbali sana........

Bodi
Nimesema mara Nyingi sana. Tanzania au Afrika mashariki zinapigana vita isiyowahusu. Hizi vita zote au nyingi za afrika zinaendeshwa na mataifa makuu ambayo yanajichukulia raslimali za Congo bure kwa miaka nenda rudi. Madini yapatikanayo Congo ndiyo yanayotumika kutengenezea simu zote za Mkononi duniani, na Mabomu makubwa ya kivita duniani. Bomu la Hiroshima, lilitengenezwa na mali gafi toka Congo.liliwaua WaJapani wengi mno.

Utengano wa Nchi zote za Kiafrika zinasababishwa na umilikaji wa haya mali gafi ya Africa. pamoja na madini yote makuu kama dhahabu, Almasi, uranium,Platinum you name it. Kutokana na udhaifu wa Maraisi wetu wasioona mbele na kufuatilia historia ya Ubepari, ukoloni, na uhujumu wa Africa, bado wananunuliwa kwa vijisenti na hao hao watu, na kinyima Africa maendeleo. maraisi wengi wapo raddhi kutoa utajiri wetu mkuu kwa hawa mabepari na kumlimbikiza Mwafrika aliyesoma na kuyaona haya matatizo kinaganaga. Maraisi wetu watatumiwa na hawa vibaraka kuwaua Waafrika wanaopinga uhujumu huo, Kuwanyanyasa, kuwanyima vyeo,na hata kuwabambikiza kesi zisizo na maana na kuwafyatulia risasi hadharani kinyama kwa sababu wanalindwa na hao hao mabeberu na mabepari. Hao Wafaransa mnaowataja ndi walioleta dhana za kivita kuwaua wanyarwanda wakisaidiana na maofisa na maraisi wa Congo wenyewe, wakipigania umiliki wa madini Congo kati yao na Wamarekani.

Congo si maskini. maraisi wote isipokuwa Patrice Lumumba alitetea haki ya Wakongo. Lakini aliuawa na mataifa haya makubwa kwa kutetea madini na utajiri wa Congo. Hakuna raisi mwingine yeyote wa Congo aliyewatetea Wacongo, Wote ni vibaraka watupu. Congo inautajiri wa madini makuu yenye thamani kubwa kuliko nchi yeyote duniani. Vibaraka wanakwenda ubia na mabeberu kuiweka Congo kwenye umaskini kama kuku.

Sasa Tanzania na Malawi na Africa ya Kusini mnatumika kupigana vita msiyoijua. Kwa nini tupoteze Askari wetu kwa maslahi ya Wazungu. Kagame anajua hiyo pia.Tuwatafute maraisi wenye kisomo cha hali ya juu, wenye kujua historia safi ya ugawanyaji wa Afrika kwa manufaa ya mataifa makubwa. Utajiri wa mataifa makubwa mengi unategemea maligafi ya Africa, na wanafanya kila kitu kuibomoa afrika Wakijua wengi wetu ni mambumbumbu hatusomi na kuyafuatilia masuala haya. amkeni Waafrika wenzangu. amkeni Watanzania wenzangu. Tunarudishwa nyuma kimaendleo kwa kutokujielimisha wenyewe , kwa uchu wa pesa, ujinga wa fikra, woga wa kujitetea wenyewe, kama tunavyoona Mawaziri wetu na Maraisi wetu kutokuwataja wauza unga huku wanawajua wote wahusika.

Ukimya, woga, kukosa Ushujaa, majivuno kama binadamu kamili,Kutokujiamini na uduni wa Kielimu na uvivu wa kufikiri, ni Sumu kwa waafica wote na inazidi kutuzorotesha, kutugawa,kutuua, kutuibia, kutufanya tuwe chini ya Wazungu, na kutufanya bado tuwategemee wazungu kwa kila kitu.

KAMA NINGEKUWA NAKUTANA NA WATU KAMA MAJIYA CHAI HAPA JAMVINI LABDA NISINGEITWA AGENT WA PAUL kwa sababu ya mtazamo wangu juu ya haya mambo.....umenena vyema
 
Ambaye haijui hii vita ni wewe..!
 
Back
Top Bottom