mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
nondo gani ulizo leta, mbona sizioni?mkipigwa nondo ghafla huwa mko bize, kama rafiki yako 'mkenya' anavyoingiaga mitini mpaka raha.
nondo gani ulizo leta, mbona sizioni?mkipigwa nondo ghafla huwa mko bize, kama rafiki yako 'mkenya' anavyoingiaga mitini mpaka raha.
nondo gani ulizo leta, mbona sizioni?
The Government of Rwanda spokesperson, Louise Mushikiwabo has cautioned against using Rwanda as a scapegoat for the ongoing conflict and crisis in Burundi.A confidential report to the UN Security Council accuses Rwanda of recruiting and training Burundian refugees with the aim of overthrowing Burundi's President Pierre Nkurunziza, Reuters news agency is reporting.
The report, by UN-appointed experts who monitor sanctions on the Democratic Republic of Congo, alleges that training was carried out in a forest camp in Rwanda, Reuters says.
The experts said in the report that they had spoken with 18 Burundian combatants in eastern Congo's South Kivu province, according to the news agency.
"They all told the group that they had been recruited in the Mahama Refugee Camp in eastern Rwanda in May and June 2015 and were given two months of military training by instructors, who included Rwandan military personnel," Reuters quotes the report as saying.
Rwanda has not the commented on the leaked report, but it has strongly denied similar allegations in the past.
Burundi has been hit by unrest since April, when President Pierre Nkurunziza announced he was running for a third term, which he subsequently won.
He survived an attempted coup in May, and four ex-generals have been sentenced to live in prison for plotting to overthrow him.
Source: BBC
Sasa umekimbia nini?nondo gani ulizo leta, mbona sizioni?
Sasa umekimbia nini?
Wewe subiri tu hapohapo huo ujinga mnaowafanyia wanyarwanda utawarudi muda sio mrefu.
Jamaa yako mchambawima anatisha kwa mbio hapa jf. Ukimpiga nondo tu anaingia jf kwa kuvizia kama paka. Tangu jana nimempa link inayomuhusu mungu wake aka inkotanyi Paulo kagame hajaonekana tena!Group of experts haimaainishi watu walewale, hilo ni jila la ofisi. waliochunguza Burundi sio wale waliochunguza DRC. Unless unataka kusema kuwa kila UN wakiteua group of experts huwa wanawaambia kisirisiri 'make sure you implicate Rwanda and Kagame', you are the one who sounds illogical!
Pili, ripoti bado haijatoka rasmi. Soma habari tena, hilil ni dokezo tu sio ripoti kamili. Subiri ripoti kamili ije ndio tutajionea details. Kilichoko kwa sasa ni trela tu. Kama unakumbuka ripoti ya DRC ilikuwa na majina ya maofisa wenu na mbinu zote zilizotumika, hata hii nayo tusubiri itoke fully tujionee.
cc MK254 vipi mkuu mbona kimya sana? Unasubiri muda upite halafu uibuke na "viva kagame"?
mchambawima1 na 'mkenya' wake ndio zaoJamaa yako mchambawima anatisha kwa mbio hapa jf. Ukimpiga nondo tu anaingia jf kwa kuvizia kama paka. Tangu jana nimempa link inayomuhusu mungu wake aka inkotanyi Paulo kagame hajaonekana tena!
nasikia unanitafuta... nikusaidie nini jMalimchambawima1 na 'mkenya' wake ndio zao
nimeipata! si ndio hii?Jamaa yako mchambawima anatisha kwa mbio hapa jf. Ukimpiga nondo tu anaingia jf kwa kuvizia kama paka. Tangu jana nimempa link inayomuhusu mungu wake aka inkotanyi Paulo kagame hajaonekana tena!
Sio hiyo, hebu pitia na hii http:/bbc.in/1KHaNcR ujionee wamarekani walivyokubaba wewe na mnywa damu mwenzio paka live katika mgogoro wa Burundi. Mwaka huu Nkurunziza atawanyoosha na uhima wenu wa kijinga. Nakukumbusha tu, binadamu wote ni sawa sio kwamba mtusi tu Ndio binadamu kama mnavyojidanganya nyie.nimeipata! si ndio hii?
nimeipata! si ndio hii?
Mmarekani anawajuwa mna akili fupi! mshawatukana sana eti wanasaidizana na Rwanda kuwaumiza MASIKINI nyie, Samantha Power ndio usiseme mshamtukana sana... kinachoendelea ni kucheza na akili zenu kusudi mumchokonoe Kagame alafu awashikishe adabu otherwise sioni sababu ya kusema kila siku maneno yaleyale bila kutuonyesha ushahidi na sie tujionee! kama huu ushahidi wa ukosefu wenu wa nidhamu...Sio hiyo, hebu pitia na hii http:/bbc.in/1KHaNcR ujionee wamarekani walivyokubaba wewe na mnywa damu mwenzio paka live katika mgogoro wa Burundi. Mwaka huu Nkurunziza atawanyoosha na uhima wenu wa kijinga. Nakukumbusha tu, binadamu wote ni sawa sio kwamba mtusi tu Ndio binadamu kama mnavyojidanganya nyie.
Mmarekani anawajuwa mna akili fupi! mshawatukana sana eti wanasaidizana na Rwanda kuwaumiza MASIKINI nyie, Samantha Power ndio usiseme mshamtukana sana... kinachoendelea ni kucheza na akili zenu kusudi mumchokonoe Kagame alafu awashikishe adabu otherwise sioni sababu ya kusema kila siku maneno yaleyale bila kutuonyesha ushahidi na sie tujionee! kama huu ushahidi wa ukosefu wenu wa nidhamu...
haya kila la kheri!Muziki wa cndd-fdd paka anaujua. Alishakutana nao DRC wakamnyonya kichuri. Wanajeshi wa Rwanda na Uganda 420 waliuawa na FDD. Hayo maneno unayoyasema, paka alimwambia jakaya kikwete lakini alivyouona muziki wa kikwete DRC ameufyata jumla. Kwa taarifa yako Nkurunziza anawasubiri mkiingia tu Burundi na Watusi wenzenu wa Burundi anawachapa, wala hana haja ya kuwafuata Rwanda.