Elections 2010 Ruvuma has a long way to go on democracy

Si Ruvuma pekee, hali ni kama hiyo sehemu ambapo kuna umaskini wa kutupwa (Tabora ikiwa ni mojawapo). Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya umaskini na kukosa elimu (au kuwa na elimu duni).

The worst thing is: WALIO WENGI WALA HAWAJUI KUWA WAO NI MASKINI na kwa hivyo hawajui/hawaoni haja ya mabadiliko. ccm (note the lower case) wanajua hilo na ndio asili ya matokeo haya ya ajabu.
 
Duu inasikitisha.

Nilimwana dada mmoja akihojiwa kwe tv eti hawatakuja kuchagua vyama vya upinzani kwani vitaleta vita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom