Rushwa ipo kila sehemu sio CCM pekee nyie vipi bana - Msekwa

Sijui na mimi nazeeka vibaya kama makamu/mwenyekiti, hivi naomba kuuliza yule mama Anna A. mtaalamu wa kutetea takrima na pesa zilizokaa kihasara hasara ana mahusiano gani na huyu mzee wa decade nyigi Msekwa?
 
Afadhali kasema ukweli kama wameshindwa kuendesha nchi bila rushwa ndo maana iko kila kona..
CCM BYE BYE....
 
Rushwa ni donda ndugu lililoachwa kwa muda refu bila ya dawa,
sasa matibabu yake ni ya gharama kubwa sana.
 
Afadhali kasema ukweli kama wameshindwa kuendesha nchi bila rushwa ndo maana iko kila kona..
CCM BYE BYE....

Yaonekana hakuna mwana-CCM anayetaka kubeba ubaya ktk nchi lakini kila jema huitwa ni mafanikio ya serikali ya CCM.

Iweje hili la rushwa iwe ni kushindwa kwa jamii nzima ya TZ kama Msekwa anavyomaanisha, badala ya kusema hilo serikali ya CCM limetushinda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom