Rukwa: Mwalimu afariki wakati anasimamia mtiahani wa darasa la saba

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mwalimu wa kiume mwenye miaka 47 amefariki dunia akiwa anasimamia mtihani wa somo la kiingereza kwenye shule ya msingi Mkapa iliyopo mkoani Rukwa.
 
Hata huyu angeendelea kuongea kidogo na rais angemfuata marehemu

Poleni wadiwa
 
Attachments

  • 4F067544-72A6-4F1C-9D78-E118B47A18D1.MP4
    794.9 KB · Views: 19
Mwalimu wa kiume mwenye miaka 47 amefariki dunia akiwa anasimamia mtihani wa somo la kiingereza kwenye shule ya msingi Mkapa iliyopo mkoani Rukwa.
Mwanga wa milele umwangazie e bwana apumzike kwa amani, Pia tukio hili linanikumbusha Mwaka 1996 ambapo Baba yangu naye alifariki akisimamia Mtihani wa Darasa LA saba huko Magu Mwanza, Mwenyezi Mungu watie nguvu wafiwa.
 
Back
Top Bottom