Rugemalira Asababisha Mchungaji Aokoke

Maranzana

Senior Member
Sep 1, 2010
192
97
Ibada ilipokaribia kuisha mchungaji akauliza;
"anayetaka kuokoka anyooshe mkono!"watu wote kimya. Rugemalila alikuwepo kwenye ibada akapita mbele akasema; "jamani mchungaji anauliza anayetaka kuokoka anyooshe mkono!". Mdada mmoja akanyoosha mkono. Rugemalila akampa yule mdada laki 3. Akawageukia waumini akauliza tena; "anayetaka kuokoka anyooshe mkono". Waumini wote wakanyoosha mikono, cha kushangaza alipogeuka nyuma akakuta mchungaji naye kanyoosha mkono. PESA KITU KINGINE!
 
Polepole mambo yako akikusikia mwenyewe utaona rangi zote chezea mwenye pesaee!?
 
Ibada ilipokaribia kuisha mchungaji akauliza;
"anayetaka kuokoka anyooshe mkono!"watu wote kimya. Rugemalila alikuwepo kwenye ibada akapita mbele akasema; "jamani mchungaji anauliza anayetaka kuokoka anyooshe mkono!". Mdada mmoja akanyoosha mkono. Rugemalila akampa yule mdada laki 3. Akawageukia waumini akauliza tena; "anayetaka kuokoka anyooshe mkono". Waumini wote wakanyoosha mikono, cha kushangaza alipogeuka nyuma akakuta mchungaji naye kanyoosha mkono. PESA KITU KINGINE!
Nice joke! btw ilishawahi kuletwa hapa in a different form ie bila jina la Rugemalira. Na kwa nini umemalizia na hayo maneno niliyobold? Utamu wa joke ni pale mtu ukiimagine mwenyewe bila kuwa prompted/helped.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom