RPC Kigoma afanya mkutano kasulu mjini.

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Kamanda freiser kashai amefanya mkutano wa hadhara jion hìi na watu wa kasulu mjini kuhusu usalama.mkutano huu umefanyka baada ya matukio ya ujambazi wilayan apa kushamili. Tukio la kwanza lilitokea mwilamnvya ambapo jamaa mwenye m-pesa alivamiwa na kuibiwa pesa baada ya bunduki kutumiwa kuwatawanya watu. Tukio la pili limetokea hiv karibun ambapo mwendesha pikipik amenyang'anywa na ameuawa na pikpik imeibiwa. Tukio la tatu,siku ya jmosi iliyopita duka la mfanyabiashara mmoja lilivunjwa na pesa 12 milion ziliibiwa. Nne mfanyabiashara aliyeibiwa katika tukio la 3, majambazi malirudi juzi wakavunja duka,pesa hawakupata ila walimuua mlinzi kwa risasi. Maaskar waliotajwa kwenye matukio mabaya atawashughulikia kwani kasema mwaka huu amefukuza polisi 5. Watu wametoa dukuduku zao kwa kuwataja maaskari wachafu kwa majina. Kamanda kashai katoa no zake za simu ili watu wampigie simu kuhusu matatizo yao. Amemtaadhalisha ocd kutokuwa mkimya. Mwisho wa mkutano, watu wamemkubali kuwa ni rpc wa kwanza kufanya mkutano na wananchi. Anaonekana kujiamini sana. Mwisho nimemfananisha na kamanda nyakoro siro, isutu mantage, henry salewi nk. Tz hii ukipendwa na wananchi,watenda maovu wanakuchukia. Big up kashai
 
sawa mkuu, karaga baho
unabahati hukukutana na kitu chenye ncha kali maana hizo ndo zao hao polisi
 
sawa mkuu, karaga baho
unabahati hukukutana na kitu chenye ncha kali maana hizo ndo zao hao polisi

Yani mkuu kwako wewe polisi hata afanye nini ww hukubali tu! hata Rpc angemchukua tembo akamweka mfukoni akuletee ndo utakubali kuwa kuna mema yapo yanafanywa na maaskari? acha negative feelings kwa askari wote,wapo wanaotenda mema!
 
Back
Top Bottom