Rostam na Manji watoe maelezo vinginevyo watiwe pingu!

Sielewi wale wote wanaojaribu kupoteza ule ukweli wa kwamba kuna element ya ubaguzi wa rangi, hilo sioni kama ni point ya kuwaambia wana Jamii. Mimi ninachoamini ni kwamba kama kuna mtu anaona kuwa hii ni issue ya ubaguzi wa Rangi na si kweli basi na awatetee hao MAFISADI papa. Well, wasemao kuwa Mengi ni fisadi papa pia basi nawatamke!! Watanzania wenzangu tuamke kabla hatujaliwa tukaisha. :(
 
Fisadi haina rangi na Mengi amewahi kutumia rangi mara nyingi katika mambo yake ya kibiashara. Alipokabiliwa na DTV wakati alipofungua ITV, akaanza kumkosoa mmiliki wa DTV Dewji. Pia ni mjanja kutumia Wahindi katika mambo yake binafsi - e.g. ofisii yake mjini dar ni haideri plaza, ambaye ni ya mhindi; editor in chief wake Datoo ni mhindi; na fundi wake wa kushona pazia za ofisini wake ni mhindi kutoka UK. Swali kubwa, utajiri wake wote amepata vipi and analipa kodi kiasi gani?
 
Pitapita;

Unataka kujua Mengi kapataje utajiri?, swali zuri, huyu jamaa ni Mooja wapo wa Chartered accountants (CA)wa kwanza nchini, ali raise kwenye kampuni ya Coopers and Lybrand (sasa wameungana na pricewaterhouse) mpaka ngazi ya Partner. Nadhani mpaka ngazi hiyo dhiki inakuwa imeondoka. Baada ya hapo akawahi ardhi pale ilipo kiwanda cha Coke Mwenge/Mikocheni, hiyo ikaongeza siagi ktk mkate wake.

Kisha akawa mtanzania wa kwanza kumiliki media kubwa kuanzia TV mpka magazeti (aliwahi sokoni), baadaye kuna Bonite bottlers Moshi. Huko kote aliwahi kabla wengine hawajaingia sokoni. Aka make faida kibao.

makampuni kama ya Condoms sijataja.

sasa tueleze hao wengine wamepataje utajiri wao?

FP(unedited)
 
Rwabugiri,

Common sense does not require to grow up.

The issue here is undeniably a fact as stated by Outlier. The bone of contention should be fair by showing all the Fisadi's without prejudice...otherwise it is like trying to put a cart before the horse!

Hey..are you Deshbakht from bcstimes.com...from way back when?
 
Zile bilioni 40 alizoiiba pale NBC ziko wapi au hiyo inabidi isahaulike kwa sababu yeye anangozi nyeusi
 
Zile bilioni 40 alizoiiba pale NBC ziko wapi au hiyo inabidi isahaulike kwa sababu yeye anangozi nyeusi

Tueleze wewe uliye msindikiza kwenda kuzichukua mlizipeleka wapi,

Hivi umeisha mstua Fisadi papa Rostamu Aziz kwamba kule Keko hawavai viatu ni kandambili tu? Pia huwa hawafungi mkanda, mwambie ajiandae vyema. Akifika huko asisahau kumsalimia Liumba, aweza kusaidia kumpa uzoefu wa maisha ya huko ndani, 'ofcourse experience is the best teacher' atamsaidia sana!
 
Zile bilioni 40 alizoiiba pale NBC ziko wapi au hiyo inabidi isahaulike kwa sababu yeye anangozi nyeusi

wewe kama mwanaume kweli, nenda kwenye tv yoyote, hata tbc1, kakodi kipindi na wewe ulipue hilojambo kama yeye alivyofanya. kama ni chakweli unachoogopa nini? ndio yeye ni mweusi, tumechoka na ninyi mnaoweka hela dubai na kujenga majengo india. bora aliyejenga hata hapa kama ni kweli, kuliko ninyi mnaotutesa nazo.
 
Zile bilioni 40 alizoiiba pale NBC ziko wapi au hiyo inabidi isahaulike kwa sababu yeye anangozi nyeusi
Sidhani kama Mengi aliiba fedha NBC ninachokumbuka alikopa NBC bank wakati inauzwa kitapeli na Yona akisaidiana na Che Nkapa waliorodhesha majina ya wadaiwa wa NBC na jina la makampuni ya Mengi lilikuwa na price tag ya deni la billion sita(6Billion SHS) sasa kwenye biashara sidhani kama deni ni wizi au ufisadi Bank ilikuwa na haki ya kumfilisi au kuuza alivyo weka rehani wakati anakopa kama walivyofanya kwa Cheyo na wengine wengi waliokopa bank.
Ufisadi ni hali ya mtu kujipatia mali kwa njia ya wizi na isiyojulika kama mmiliki wa kagoda kutumia jina bandia. Wizi na rushwa, ujangili wa kuuwa wanyama na kubeba vito, Mikataba mibovu na kula fedha kwa niaba ya wananchi. Kutumia madaraka kuwalinda wezi na wahujumu wa nchi, kulipana posha kubwa kuliko uwezo wa nchi na kuwaacha wananchi wengi masikini.

Swala la Rangi hili halipo Mengi hajasema kwamba wale mafisadi ni wahindi au waarabu alisema ni watanzania wafanya biashara ambao wametokea wote wakawa wana asili ya asia na wezi mafisadi wakubwa. baba ya fisadi.

Ushauri wakati umefika mwenye shoka, panga,mshale, jiwe, sime,kibiri, tutoke na kelele za mwizi tuanze kuwashughulikia hawa wezi kama tunavyofanya hapa manzese kuwachoma hawa vibaka moto.

Uonevu wa aina yeyote haujawahi kumalizika kwa ridhaa ya watawala. Bila ya wananchi kuamka na kupigania haki yao tusahau.
Weusi wa Marekani ilibidi wapigane na wengi wafe kupigania haki za kiuchumi, elimu, na sheria.

Afrika ya kusini walimwaga damu si kwa ajili ya uhuru la hasha ila usawa wa ugavi wa mkate wa kila siku kwani mapapa wachache walijimegea na kuwatupia makombo walio wengi huku wakiwakebihi.

Tanzania sio tu wanatutukana ila vibaraka wamekuwa wengi wa kuwalinda mabeberu weusi wakiongozwa na mkuu wa kaya.

Choma moto, kama tufanyavyo kwa vibaka, hujuma juu ya hujuma mpaka kieleweke.
NA TAZAMA IMEANDIKWA UPANGA KWA UPANGA.
 
mnaleta utani aisee...hizo mahakama za kuhukumu MAFISADI hapa BONGO ziko wapi? naumia sana moyoni kuona nguvu nyingi tunazitumia hapa mtandaoni, kwa nini tusianzishe gazeti ili wananchi wengi wazipate hizi habari???
 
cheche za fikira!! wewe print na sambaza kadri uwezavyo.
 
Fisadi haina rangi na Mengi amewahi kutumia rangi mara nyingi katika mambo yake ya kibiashara. Alipokabiliwa na DTV wakati alipofungua ITV, akaanza kumkosoa mmiliki wa DTV Dewji. Pia ni mjanja kutumia Wahindi katika mambo yake binafsi - e.g. ofisii yake mjini dar ni haideri plaza, ambaye ni ya mhindi; editor in chief wake Datoo ni mhindi; na fundi wake wa kushona pazia za ofisini wake ni mhindi kutoka UK. Swali kubwa, utajiri wake wote amepata vipi and analipa kodi kiasi gani?

Umetumwa nini!
 
Back
Top Bottom