Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 384
mkuu tatizo siyo RA, tatizo ni sheria za nchi hii ambazo ni kama mdomo wa mamba. wajanja walitangulia kutupiga bao kutengeneza sheria zinazowalinda waliopo kwenye mfumo. huyo jamaa ni matokeo tu.
Inawezekena ni kweli unayosema. Lakini hatuwezi kudhiadhibu sheria bali kuzibadilisha. Rostam ametumia dhamana ya uongozi wake vibaya ni lazima tumuadhibu na sio kumbadilisha. We need to act on this guy now whether analipwa au halipwi lakini tunaanza na Rostam, no way out this time. Tunaanza na Rostam then wengine wanafuata huku tukiendelea kupitia sheria zetu na kuzibadilisha kwakupitia mapendekezo ya wananchi.