Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

Status
Not open for further replies.
Kila binadamu ni malaya tu manake wachache waliodumu na wale waliowatoa bikira........kama mashine yake mwenyewe ana haki ya kuchagua wa kuiendesha sasa tatizo nini yeye kampa nani au kwanini Nape apewe sumu.....kuweni waungwana UKIONA MOSHI UJUE MOTO UTAWAKA SOON hii habari si mara ya kwanza kama mara tatu nne hivi halafu inapotezewa mpaka waandishi wengine kufukuzwa kazi....tujifunze kutafiti sio kuongea bila FActs!!! @,@.
 
...as for us,we have nothing to loose,ye mbona kawatangazi kifo wazee...
 
...as for us,we have nothing to loose,ye mbona kawatangazi kifo wazee...

Mkuu binadamu mwenzako hutakiwi kumwombea kifo, Ingawa cha huyu dogo hakitaathiri kitu hata akifa leo...!
 
Mtangazaji wa zamani wa Channel Teni Bi Salama Hamadi amesema amekuwa anafanya ngono na Rostam Aziz Kwa zaidi ya Miezi kumi baada ya kumupatia ajira katika kampuni yake ya Channel Teni.

Amesema kaitika mahusiano hayo Rostam alipata kumushawishi ajipenyeze Kwa nape nauye ili amuwekee Sumu na kumuua!!!

Siku ya tukio Bi Salama alipewa sumu ya unga na Rostam na kwenda kufanya njama za kumwita Nape na kisha kujikuta anamuonea huruma kwa kuwa alikuwa anafanya naye ngono pia!!!
Hatahivyo Salama anasema alimukabidhi Nape sumu hiyo na kuendelea kufanya naye Mapenzi kabla ya kutoroshwa kwenda Uk ambapo amejificha kukwepa mukono wa mafisadi.

Bi Salama anasema baada ya kushindwa kumuua Nape Rostam alimunyang"anya passport ya kusafiria na simu ambapo Nape alifanya njama na kumutafutia nyingine!!!
Makada wa CCM Lumumba walimuonya Nape juu ya mahusiano na Salama lakini hakusikia!!!

Hata hivyo Rostam Aziz amejikita Uk ambako Bi Salama anasema amekimbilia na inashangaza ni kwa Vipi Bi Salama anasema amejificha huko!!!
Source: Gzt la Dira & Makao CCM

Duh! JF kiboko, hizi enzi za Jambo Forums ziliitwa nyepesi nyepesi.
 
Rostam pamoja na Hitilafu zake za kiuadilifu ni Miongon mwa Viumbe waliozushiwa Uongo mwingi zaid hapa Nchini!Nape anapesa Gani ya kumficha Malaya UK?, Rostam ni MFADHILI wa 'Mfadhili' wake Nape!
 
simiyu,ze marcopolo,ritz,black widow-fox na wengine wale wa buku saba mbona siwaoni kwenye huu uzi?
 
Nina shaka na hiyo habari. Kwanza Channel Ten iko chini ya Africa Media Group ambayo mmiliki wake ni Franco Tramontano ambaye pia ana duka la nguo pale Shoppers Plazza.
Ninachojua Rostam alikuwa akimiliki kituo cha Radio Uhuru na gazeti la Mwananchi, lakini baadaye akauza hisa zake nyingi za Mwananchi kwa Wakenya, pia akauza hisa zake nyingi za Radio Uhuru kwa CCM.
Kisha baadaye akanunua hisa nyingi za Habari Corporations. Mleta uzi arudi kutoa ufafanuzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom