Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 480
Itashangaza sana Kama katibu Mwenezi wa CCM atajitapa kwamba hayo ni mafanikio.........Sidhani kama atakuwa desparate kiasi hicho katika kurejesha imani ya wananchi kwa chama chake,Naamini hatafanya hivyo badala yake nadhani atanadi busara ya kuchukua hatua zaidi na kuishinikiza serikali ya chama chake kumburuza mahakamani na au kutaifisha mali zake kutokana na ushahidi waliokuwa nao na kumtaka kuachia nyadhifa
Ben, ina maana Magamba huwajui tabia zao? .... hawana aibu wale, wewe subiri utamsikia huyo nape na viroja vyake.