Rose Muhando Amewatakia heri ya chrismas na mwaka mpya

Dec 17, 2018
48
54
Mwanamuziki w a kike wa nyimbo za kiinjili.
Rose Mhando ambaye hujulikana pia kwa jina la Rose
Muhando ;amezaliwa mwaka 1976 katika kijiji cha Dumila, Wilaya ya
Kilosa , Mkoa wa Morogoro , nchini Tanzania ) ni msanii maarufu wa
muziki wa injili katika lugha ya swahili katika kanda ya Afrika
Mashariki .
Rose,ambaye alikuwa muumini wa dini ya kiislamu,ni mama wa
watoto watatu. Mama huyu alidai kuwa akiwa na umri wa miaka
tisa alipata maono ya Yesu Kristo akiwa amelazwa. Aliteseka kwa
muda wa miaka mitatu,na baada ya hapo alipona na kubadili dini
( kuongoka) na kuwa mkristo . Alianza fani yake ya muziki kama
mwalimu wa kwaya inayoitwa Kwaya ya Mtakatifu Maria katika
kanisa la kianglikana linaloitwa Chimuli mkoani Dodoma.
Amewatakia heri ya chrismas na mwaka mpya wana JF wote
 
Vyura mnajifariji na ndege sasa mmehamia kwa rose muhando.

Basi lenu la zambia limepata pancha kimara hapa
 
Mwanamuziki w a kike wa nyimbo za kiinjili.
Rose Mhando ambaye hujulikana pia kwa jina la Rose
Muhando ;amezaliwa mwaka 1976 katika kijiji cha Dumila, Wilaya ya
Kilosa , Mkoa wa Morogoro , nchini Tanzania ) ni msanii maarufu wa
muziki wa injili katika lugha ya swahili katika kanda ya Afrika
Mashariki .
Rose,ambaye alikuwa muumini wa dini ya kiislamu,ni mama wa
watoto watatu. Mama huyu alidai kuwa akiwa na umri wa miaka
tisa alipata maono ya Yesu Kristo akiwa amelazwa. Aliteseka kwa
muda wa miaka mitatu,na baada ya hapo alipona na kubadili dini
( kuongoka) na kuwa mkristo . Alianza fani yake ya muziki kama
mwalimu wa kwaya inayoitwa Kwaya ya Mtakatifu Maria katika
kanisa la kianglikana linaloitwa Chimuli mkoani Dodoma.
Amewatakia heri ya chrismas na mwaka mpya wana JF wote
Unazengua Sana ndugu mdau
 
Kawadanganye MBUMBUMBU FC
 
Pole sana. Kaisome vizuri hiyo taarifa kuwa alikutakia wewe sio wana jf. Kwanza Rose na Xmass siku hizi ni paka na panya. Rose wetu leo anaitwa "Hidaya" baada ya kupigwa maji ya zam zam. Yote hayo ni baada ya kuukosa upendo wenyu wagalatia. Mlimpenda kwa kumzalisha tu na kumuibia pato lake hadi magari yake. Wezi wakubwa nyiye
 
We tena umeenda wapi ?! Bora ungeishia kumkosoa mleta mada . Nyinyi hamchelewagi kuwaka .
Awe Hidaya au Rose hamsaidii mtu isipokuwa yeye mwenyewe.
 
Mwanamuziki w a kike wa nyimbo za kiinjili.
Rose Mhando ambaye hujulikana pia kwa jina la Rose
Muhando ;amezaliwa mwaka 1976 katika kijiji cha Dumila, Wilaya ya
Kilosa , Mkoa wa Morogoro , nchini Tanzania ) ni msanii maarufu wa
muziki wa injili katika lugha ya swahili katika kanda ya Afrika
Mashariki .
Rose,ambaye alikuwa muumini wa dini ya kiislamu,ni mama wa
watoto watatu. Mama huyu alidai kuwa akiwa na umri wa miaka
tisa alipata maono ya Yesu Kristo akiwa amelazwa. Aliteseka kwa
muda wa miaka mitatu,na baada ya hapo alipona na kubadili dini
( kuongoka) na kuwa mkristo . Alianza fani yake ya muziki kama
mwalimu wa kwaya inayoitwa Kwaya ya Mtakatifu Maria katika
kanisa la kianglikana linaloitwa Chimuli mkoani Dodoma.
Amewatakia heri ya chrismas na mwaka mpya wana JF wote
Si kweli, kwao tanga na alianzia kuimba kabla ya kuhamia Moshi na kujiunga na kwaya ya mamajusi pale majengo then akaenda Arusha ndipo akahamia Dodoma
 
Ivi nyie mbona title ya uzi wangu ni habari ya ivi punde sasa ivi eti ni Rose mhando awatakia heri ya chrismasi na mwaka mpya
Ina maana Jf kuna msimamizi???????
Au kuna mtu ame hack account yangu
 
Back
Top Bottom