Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,413
- 14,317
Hapana,Unajua anaingiza shilingi ngapi kwa kuigiza hivyo?
Yaani nyie mnaishi kwa kufuata ushuuda wa uongo.
Makanisa ya kisasa yamekua ni deal la biashara unakuta eneo lina umasikini wa kutupa lakini makanisa yapo zaidi ya 70
Sisi wengine tunajua kuwa,
Hili ni pepo na
Hili ni igizo,
Hili ni pepo.