Ronaldo Luiz Nazario Fenomeno de Lima astaafu kwa aibu...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
Mshambulia nguli aliyepata mafanikio makubwa ktk medani ya Soka barani Europa Ronaldo Luiz Nazario Fenomeno de Lima ama Elgodo yaani bwanyenye ametundika Daruga baada ya timu Anayochezea ya Corithians kulambwa goli 2-0 na wauza poda toka Colombia.

Mashabiki wa Corithians wenye hasira walionekana nje ya makao makuu ya klabu hiyo wakiwa na mabango makubwa yenye ujumbe wenye hasira unaomshinikiza Ronaldo aondoke klabuni hapo yakisema ''OUT RONALDO'' na lengine kusema ''SHAMELESS FATTY''...

alipokuwa ulaya alikuwa hajakamilika kiuchezaji mpk alipohamia klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni yaani AC Milan
Na kwenda kukutana na nyota kama Seedorf, Nesta, Maldini, Kaka, Pippo, Rui Costa na wengine weeengi.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa AC Milan anaaminika kuwa ndie mshambuliaji boora kwa Mwongo ulopita kwani ameshafunga magoli na kupata mafanikio makubwa ktk medani ya Soka.

Wao wamekudis, sisi tutakumiss...
Pumzika na ule Bata Kaka.
uliyoyafanya ktk Soka hata vipofu waliyasikia na kuyakubali...
 
alipokuwa ulaya alikuwa hajakamilika kiuchezaji mpk alipohamia klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni yaani AC Milan
Na kwenda kukutana na nyota kama Seedorf, Nesta, Maldini, Kaka, Pippo, Rui Costa na wengine weeengi.
...
Mkuu Ronaldo alikuwa mkali toka yupo PSV msimu wa 94-96 alikuwa moto balaa.....mechi 46 goals 42 na ukali wake uliendelea alipotua Barca....fuatilia acha uSimba na uYanga
mgosi... Ronaldo ni legendari wa pekee
Mkuu huyo Gang chomba ni kile kizazi cha Abramovic,,,,wale walioanza kuijua soka baada ya Abramovic kuichukua chelsii.....
....
 
Huyu jamaa namkumbuka sana alivyotumaiza hat-trick enzi za Fabien Barthez ,Nafikiri ni Champions League pekee ndio kombe ambalo hakuchukua
 
Bora kupumzika kwa amani kuliko kupata fedheha,wengi tunakumbuka mavituz yako yasiyotabirika katika soka:horn:hakika umetesa ile mbaya,lakini kila kitu kina wakati wake.
 
jamaaa alikuwa ananifurahisha sana nilikuwa mshabiki wake mkubwa sana
Ronaldo-Lu%C3%ADz-Naz%C3%A1rio-de-Lima.jpg
 
Mkuu Ronaldo alikuwa mkali toka yupo PSV msimu wa 94-96 alikuwa moto balaa.....mechi 46 goals 42 na ukali wake uliendelea alipotua Barca....fuatilia acha uSimba na uYanga

Mkuu huyo Gang chomba ni kile kizazi cha Abramovic,,,,wale walioanza kuijua soka baada ya Abramovic kuichukua chelsii.....
....

Yo Yo nitake radhi...
Nakupa masaa matatu.
La sivyo uje na ushahidi
 
Huyu jamaa namkumbuka sana alivyotumaiza hat-trick enzi za Fabien Barthez ,Nafikiri ni Champions League pekee ndio kombe ambalo hakuchukua

Belo kuna jamaa jana alijisahau akasema kuwa eti Fenomeno dawa yake ilikiwa ni Rio Ferdinand...

Nikaona aibu kumkumbusha hiyo hat-trick ambayo Rio alikuwa gwala siku hiyo na ndie alipewa jukimu la kuzurura nae
 
Wewe hujui soka kabisaaaa. Dunia ya kandanda haitamsahau kamwe de Lima hata angefanya madudu gani mwisho wa maisha yake ya soka. Kumbuka pamoja na kuboronga kwa Ronaldinho Gaucho alipewa tuzo ya mchezaji bora wa Muongo (2000-2010) huku akiwa ameshuka kiwango kabisa na kitambi kikubwa...itakuwa de Lima bwana? acha ushamba.
 
Mkuu umetokea Bar gani?
Nimeripoti walichokionyesha washabiki wa Corothians...
Sasa ushamba wangu uko wapi?
 
Nafikiri mpaka sasa hivi hatujapa nambari 9 wa kufanana na legendary wa UKWELI....nakumbuka hata golikipa wa Ujerumani Khan aliwahi kusema katika maisha yake hakuna forward aliyekuwa anamuogopa kama Ronaldo de Lima. Wakati anaingia uwanjani huku timu pinzani ikiwa na Ronaldo (wa ukweli) moyo ulikuwa ukimuenda mbio kama 'William Ngeleja na umeme yake ya tanesco'.

We will miss you!!
 
Huyu jamaa namkumbuka sana alivyotumaiza hat-trick enzi za Fabien Barthez ,Nafikiri ni Champions League pekee ndio kombe ambalo hakuchukua
ile mechi mpaka leo naikumbuka vividly kichwani...nakumbuka kuna mpuuzi mmoja (herning berg) alipigwa chenga kwenye touchline akabaki amekaa chini.
 
ile mechi mpaka leo naikumbuka vividly kichwani...nakumbuka kuna mpuuzi mmoja (herning berg) alipigwa chenga kwenye touchline akabaki amekaa chini.
Wakati anatoka uwanjani uwanja mzima wa Old Trafford walikuwa wanamshangilia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom