Ronaldo huwa Mfalme kila anakokwenda: Ameikamata ligi ya Saudia, angalia hii free kick yake!

zeuman

JF-Expert Member
Aug 2, 2023
261
480
CR7 anaongoza orodha ya wafungaji bora akiwa na magfoli 11 pamoja na kwamba amecheza michezo miwili pungufu kuliko wapinzani wake katika orodha hiyo.

Anaongoza pia orodha ya assist akiwa na assist 5 akifungana na wengine watatu hivi. Hii free kick yake ilimwacha kipa akiwa ametulia wakati nyavu zinatikisika!

View: https://youtu.be/HqRHoKA6Obs
 
Acha kukuza vitu vidogo hivyo. Kabla hujabwabwaja hebu jiulize huyo CR7 anachezea ligi ya aina gani na timu shindani kwake zina ubora upi? Ni sawa na kumsifia Kilian Mbape kufunga goli la free kick kwenye uwanja wa Kinesi pale Urafiki kwenye ligi ya Ndondo Cup kati ya Madenge FC kutoka pale Magomeni-Makuti na Keko Furniture FC kutoka pale Keko ya Magurumbasi.
 
Ni wapi CR7 ambako ni pagumu kwake na hakuweza kufunga? Labda wewe ni wa juzi!! Ligi zote kubwa kapiga na katamba!! Katamba EPL, katamba La liga, katamba Serie A! Ni wapi utakakomtishia!! Katamba kombe la dunia! Katamba Euro cup!! Utamtishia wapi palipo pagumu?
 
Back
Top Bottom