role ya Private Agricultural Sector Support (PASS)

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
katika kupitia kwenye site mbalimbali nimekutana na hili shirika la Private Agricultural Sector Support (PASS). nimependa

PASS offers the following commercial and subsidized services:

  • Business Development Services which include preparation of feasibility studies and business plans for investment proposals, capacity building, organization of farmers into member-based groups for marketing and contract farming arrangements, as well as marketing and development of market linkages.
  • Financial Services which include financial linkages without credit guarantee (CG), financial linkages to financial institutions with CG and through hire purchase and leasing schemes.

kwa wanaofahamu PASS, naomba anijuze zaidi jinsi ambavyo wanavyoweza kumsaidia na ku-gurantee individual katika ku-access bank loan kwa ajili ya ufugaji.

natanguliza shukrani wanandugu

K
 
PASS wako vizuri shida yao ni mlolongo wa mambo kama unavyojua urasimu wa vyombo vya fedha
 
PASS wako vizuri shida yao ni mlolongo wa mambo kama unavyojua urasimu wa vyombo vya fedha
Sabasaba kama una uelewa wa PASS nieleze vizuri kuhusu jinsi wanavyoweza kusaidia ku-access mkopo. Je ni lazima uwe na collateral ya kuweka bank au wenyewe ndo wanatoa guarantee?
 
Sabasaba kama una uelewa wa PASS nieleze vizuri kuhusu jinsi wanavyoweza kusaidia ku-access mkopo. Je ni lazima uwe na collateral ya kuweka bank au wenyewe ndo wanatoa guarantee?
Bro Kanyagio... Nadandia katika swali lako nami nivunage maarifa...
 
Najua CRDB huwa wanatumia PASS guarantee kwenye mikopo yao ya kilimo pale mkulima anapokuwa haja meet kigezo cha kuwa na collateral ya kutosha. Sikumbuki maximum percentage ya guarantee, ila nahisi haizidi 20%.
 
mimi nijuavyo hawa jamaa wanakusaidia kuandaa business planing, na maswala mengine, ila dhamana zote ni juu yako na c juu yao.

- wao hufanya kazi na vikundi vya wafugaji na wakulima, wafugaji mbalimbali wanavyo kuwa kwenye vikundi ndo huweza kufanya kazi na pass,

- si jajua kama wanafanya kazi na individual people, kwa sababu hawa pass huwa some time wanapata fund kutoka kwa wazungu na huwa na mashariti kadhaa, na sometime huwa na fund yao ya kutoa mikopo moja kwa moja badala ya kuwa wakala wa crdb
 
Back
Top Bottom