Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

Mc kingo

Member
Mar 5, 2021
59
91
Poleni na majukumu wakuu,

NAHITAJI ushauri wenu Kwa hili..,Mimi nipo na mrembo wangu kwa muda Sasa alienivumilia kwa mengi na tumedumu karibun miaka miwili.ni msichana alienipenda kwa dhati na Hilo nilidhihirisha baada ya kunikuta Sina mbele Wala nyuma lakin hakujali, na hata ingetokea nina shida akajua Basi Kama anauwezo wa ku cover Wala hakusita kunisaidia.nam n hivyo japo kwangu ilikua n kwa uchache sababu yeye(kwao) maisha yanaridhisha tofaut na Mimi binafsi & kwetu.Rafiki zake wengi walinijua maana baadh gheto alikua anakuja nao hata nimkataze kua ananiaibisha kutokana na jins kulivyo rafu lakn hakukoma ikabid nipoe,ikafika muda wakaanza kumsema abadilishe mwanaume me sio hadh yake Hadi sms nyng anakuja kunionyesha vile nasemwa vibaya ila tukadumu.

Kipind hicho me ni msakatonge haswaa lakn ndo hvyo Mambo hayaendi,ila kipindi hiki afadhal imeanza kuonekana angalau na ubize kidoqo umeonqezeka kwangu kwa hizihz mishe zetu za kigum.ghafla mgogoro na HUYU bibie umeanza akidai nmeanza kupat hela na dharau zimeanza kwake et najidai bize mda mwingi hata muda nae Sina hata anambie anataka kuja kwanqu Mara nyng namwambia nna kazi tunaghair hyo siku.

Ukweli upande wangu namuheshimu Sanaa na n Mara chache tunaonana Napo baadhi ya siku hata Kama nipo kwenye kibarua nalazimika nitoroke kwa ajil yake ili tu apunguze lawama,pia siwez Kila muda niwe nae maana kaz zetu hz usipoonekana kazn bas na chako huna n nguvu na akili yako ndo inakuingizia chochote,saiv amekua mtu wa kuninunia ugomvi Kila siku akidai hanielew itakuwa nmempata mwngne ninaemuheshimu kuliko yeye na sikumbuki tulipotoka na msaada wake siuon wa maana tena sababu nmeanza kujimudu angalau.. na ukwel mahusiano mengne yaliyo siriaz Sina Zaid ya kwake tu.

Nishaurin nifanyaje!!? Kwan hata nikimpigia kwa Sasa anakua na hasira anajbkua namu enjoy tu kinafki simpendi wakat c kwel(nampenda& namuheshimu)..Juzi nakutana na rafk ake ananichana et we shem mbona huna fadhila kwa shoga yangu wema wake umesahaulika!??
Mm inaniumiza Kwan pamoja na ubahr kwa huyu niliapa lazima ale matunda ya uvumilivu kwa jasho langu lakn hata nimfanyie hivyo bado naonekana najikosha🙂🙂.
 
Mkuu chagua wiki ambayo kibarua kiko 'tight' sana kisha mpange aje mahali atakapokuona ukipigika ashinde hapo muda wote unaofanya kazi kama itawezekana wiki nzima kisha baada ya hapo ndo mkae umueleze jinsi anavyokuumiza kihisia kwa kutothamini mihangaiko yako na namna anakufanya ujute kukubali msaada wake kwako kwa namna anavowaelezea rafiki zake nao wanakusema ndivyo sivyo.
 
Anajua Kila kitu

basi mpe muda jikite kua busy zaidi yan wewe usimtafte muache atakutafta tu kama anajua kila kitu sasa analeta drama za nini
Duh!..kweli tena
Iliwahi kunikuta hiyo, nilipokuwa choka mbaya mwanamke alinipenda na kunipa kampani sana ya kimaisha ila baada ya kuanza kushika visenti tu akaacha kabisa upendo kwangu.

Mpaka leo sielewi nini kilisababisha.
Hata me sikuelew badala ya kufurahia yeye imekua kesi,hua namwambia tuliza moyo me unajua sijaajiriwa na serikali kwamba niwe na muda maalum vumilia lakn wap!!
 
Mkuu chagua wiki ambayo kibarua kiko 'tight' sana kisha mpange aje mahali atakapokuona ukipigika ashinde hapo muda wote unaofanya kazi kama itawezekana wiki nzima kisha baada ya hapo ndo mkae umueleze jinsi anavyokuumiza kihisia kwa kutothamini mihangaiko yako na namna anakufanya ujute kukubali msaada wake kwako kwa namna anavowaelezea rafiki zake nao wanakusema ndivyo sivyo.
Ndio inauma kusemwa umeanza kujisikia wakat Safar bado kabisa
 
Mkuu ndio shida hiyo ya kusaidiwa na mwanamke yan hilo ndio km fimbo yako sas ukiteleza tu lazima hiyo ndio itakuw kauli yake hii kitu ilinitokea hata mm puan miaka flan ya nyuma bint x wa kichaga badae yakazuka maneno kwahy ndugu yangu km huyo bint nmuelw bhas naiman atakuelewa ukiona hakuelew bhas ila kaz ni muhimu kuliko huyo mwanamk hawa viumbe hawana formula halisi
 
Mkuu ndio shida hiyo ya kusaidiwa na mwanamke yan hilo ndio km fimbo yako sas ukiteleza tu lazima hiyo ndio itakuw kauli yake hii kitu ilinitokea hata mm puan miaka flan ya nyuma bint x wa kichaga badae yakazuka maneno kwahy ndugu yangu km huyo bint nmuelw bhas naiman atakuelewa ukiona hakuelew bhas ila kaz ni muhimu kuliko huyo mwanamk hawa viumbe hawana formula halisi
Ndio ivo mkuu,shukran
 
.. na ukwel mahusiano mengne yaliyo siriaz Sina Zaid ya kwake tu.

.

Ina maana una mahusiano mengine ila sio serious sio??

Turudi kwa huyo mwanamke...

1. Kwanza ana wasiwasi juu ya future yake.

2. Wewe kama mwanaume unaonekana uko so soft na huaminiki (kama ulivyo sema una mahusiano mengine lakin sio serious which means una vimchepuko..)

3. Huyo mwanamke anahitaji kwanza kumwelewesha kwa utulivu wa hali ya juu kuhusu hali halisi. Yani ukiweza mletee hata zawadi ya pipi ya shilingi mia then muombe kwa utulivu mwambie unaomba umpe zawadi. Baada ya kumpa zawadi then kaa mpe A to Z, mwambie huna mchepuko na yuko peke yake na una future nae.

Maana mpaka sasa hivyo vimbwanga ni dalili ya kuchokwa.

4. Ukiangalia kwa jicho la tatu kuna uwezekano mkubwa bidada kapata dume lingine lenye mapesa, limeanza kumtokea na kumtongoza.

Pia kuna uwezekano analikomalia LAKINI AKIKUANGALIA NI KAMA HUAMININIKI (wenda una michepuko kama ulivyo sema una mahusiano mengine lakin sio serios) sasa akiona huaminiki pili bado kiuchumi hauko vizuri alafu kuna kidume chenye mapesa kinamtongoza na bado marafiki zake wanamshawishi akuache maana pesa huna lazima aanze ku question future yake.

Yani hapa hata ule uvumilivu mdogo alio kuwa nao kwako unaanza kiyeyuka taratibu! Na ndio maana unaona anakuletea hivyo vimbwanga.

Hivyo vimbwanga vina maana yake haviji tu from no where!!

(Rudia vizuri kusoma hii point ya tatu na nne na uielewe).

NB: Uandishi wako ni kitoto sana jifunze uandishi bora.
 
Unatingwa jumatatu hadi jumapili? Kuanzia saa 1 hadi saa 6:59? hadi siku nyingine?.........mkuu unakosea wala hutingwi lakini unakosa muda wa kumtafuta......

Tafuta siku mbili mtoe nje ya mji au sehemu iliyotulivu mkalale huko, muelekeze vizuri na plans zako pia msikilize anataka nini....

Muda fulani unaweza kuwa busy mno ila unaibia hata sekunde 20.....unatuma text "Little angel am missing you terribly"
Au unatuma voice note "mama nimekumic sana, my days are very tough bila kujua hata unaendeleaje, wish you could be here with me hun"
 
Back
Top Bottom