Roho imeniuma sana

Best mi sio tegemez hata kidogo ninabiashara yangu inanilipa tu
Nadhan imetokea tu kanipigia sikua nyumban na aliniambia yuko hoi anaumwa kwel sikurud hata nyumban kuchukua hela,,,bht nzur nilikua na hela kwenye manyonyo tena ulikua ya upatu,, ikabidi niende nafika ananiambia nilikumiss nikuone tu,,,,
Asubuh kaamka namwambia unajua sina nauli akaniambia poa
Asubuhi ulimkumbusha?? Maana communication ndio kila kitu. Ungemwambia halafu akaushe ndo useme. Next time ukimfuata mtu ambaye sio mume wako wa ndoa hakikisha una nauli.
 
Huyo mwanaume mwenzang ni wa ajabu...mchungu na selfish hawa ndo wale wanaacha hela ya matumizi halafu anakuambia chenchi itabaki 500 niikute
 
Asubuhi ulimkumbusha?? Maana communication ndio kila kitu. Ungemwambia halafu akaushe ndo useme. Next time ukimfuata mtu ambaye sio mume wako wa ndoa hakikisha una nauli.

Yaani mwanaume nae hajiongezi? Kaona mpenzi kaja bila hata mkoba nae haulizi nauli unayo mpenzi?
 
Mama pita kwenda kwa mpenzi= No marriage.

No marriage with son = Single mother.

Aisee pole sana, tafta maisha yako achana na huyo jamaa atakuja kukuliza tu.
 
Aisee nPM sehem ulipo nije nkuchukue au ntumie namb nkutigo pesa!! Pole sana mrembo
 
Back
Top Bottom