Risasi nje nje mwanza...polisi wapambana na majambazi

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Majira ya saa nne asubuhi leo Polisi wamefanikiwa kuwaua majambazi watano ambao walivamia duka la hardware kwa ajili ya kufanya uporaji!
Ilikuwa hivi..Polisi walikuwa na taarifa za uhalifu huo wakawa wamewawekea mtego, jamaa walivyoingia tu Polisi wakaanza kuwaua wale walio nje waliokuwa wakilinda wenzao, baada ya kuwaua ndo wakawaingilia wale wa ndani na kuwamaliza.
Nimeshuhudia mwenyewe miili mitano ya majambazi hayo ikiwa imechakazwa sana na risasi, imehifadhiwa mortuary Bugando.
MY TAKE; Nawapongeza sana polisi kwa kazi nzuri walioifanya, lakini je walijuaje?? Ni matukio mangapi huwa wanayajua kabla?
 
hapo kwenye red mkuu pananipa mashaka, yasije kuwa yale ya Mzee Zombe kule Mabwe Pande

Itakuja kugundulika baadae kuwa waliouwa hawakuwa majambazi bali ni wafuasi wa Chama flani.
 
Usiwapongeze polisi kwanza...pongezi yao ni kwa kukubali taarifa na kuifanyia kazi bila woga. pongezi kubwa hapa inatakiwa iende kwa alie toa taarifa. hapa nadhan kuna mtu wa karibu wa huo mtandao amepatwa na uwepo wa mungu na kuchukia maovu malaika wa mungu akamuongoza akaenda kuwaripoti wenzake ili kukomesha matukio ya wizi na kufuta kabisa huo mtandao. wewe unafikiri ni mtu wa ndani aliwapa taarifa polisi? asingethubutu maana angekuwa ameweka maisha yake rehani. ni wenyewe kwa wenyewe mara nyingi damu wanazozimwaga zisizo na hatia wakati wa ujambazi huwa zinawarudi na kuwafanya wasalitiane. kwa lugha nyingine ulinzi shirikishi wa mali za raia na polisi ndo matokeo yake yake hayo

Majira ya saa nne asubuhi leo Polisi wamefanikiwa kuwaua majambazi watano ambao walivamia duka la hardware kwa ajili ya kufanya uporaji!
Ilikuwa hivi..Polisi walikuwa na taarifa za uhalifu huo wakawa wamewawekea mtego, jamaa walivyoingia tu Polisi wakaanza kuwaua wale walio nje waliokuwa wakilinda wenzao, baada ya kuwaua ndo wakawaingilia wale wa ndani na kuwamaliza.
Nimeshuhudia mwenyewe miili mitano ya majambazi hayo ikiwa imechakazwa sana na risasi, imehifadhiwa mortuary Bugando.
MY TAKE; Nawapongeza sana polisi kwa kazi nzuri walioifanya, lakini je walijuaje?? Ni matukio mangapi huwa wanayajua kabla?
 
Majira ya saa nne asubuhi leo Polisi wamefanikiwa kuwaua majambazi watano ambao walivamia duka la hardware kwa ajili ya kufanya uporaji!
Ilikuwa hivi..Polisi walikuwa na taarifa za uhalifu huo wakawa wamewawekea mtego, jamaa walivyoingia tu Polisi wakaanza kuwaua wale walio nje waliokuwa wakilinda wenzao, baada ya kuwaua ndo wakawaingilia wale wa ndani na kuwamaliza.
Nimeshuhudia mwenyewe miili mitano ya majambazi hayo ikiwa imechakazwa sana na risasi, imehifadhiwa mortuary Bugando.
MY TAKE; Nawapongeza sana polisi kwa kazi nzuri walioifanya, lakini je walijuaje?? Ni matukio mangapi huwa wanayajua kabla?

Maelezo hayaonyeshi kama palikuwa na mapambano, unaweza kurudia tena kuandika habari iliyokamilika?
 
stupid police kabisa
kama hakukuwa na resistance kwann wasiwatengue viuno na miguu
wangewakamata na kujua mtandao wao
 
Wawakamate hai ili kujua mtandao wao??? Unaweza kushangaa mtandao wao unawahusisha ma-polisi vile vile na hivyo kuwaua ndiyo kukata mzizi wa fitina na kuwazika na siri zote. Unaweza kushangaa vilevile kuwa hapo awali hawa majambazi walikuwa ni wadau wa baadhi ya ma polisi, sasa wamedhulumiana wakawategeshea na kuwaua. Ni mawazo tu, ila inaweza kuna chembe ya ukwel, Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!!
 
mkuu sikubaliani na polisi kuua watu eti ni majambazi.hii ni sawa na kujichukulia sheria mkononi.je Tanzania hatuna mahakama?hii inaonyesha polisi walidhamilia kuwaua.ukute hapo kuna kitu wanaficha.kila nikikumbuka wafanyabiashara wa mahenge nguvu zinaniishia.polisi wamegeuka kua kikundi cha mauaji na unyanyasaji.rip.mia
 
wawakamate hai ili kujua mtandao wao??? Unaweza kushangaa mtandao wao unawahusisha ma-polisi vile vile na hivyo kuwaua ndiyo kukata mzizi wa fitina na kuwazika na siri zote. Unaweza kushangaa vilevile kuwa hapo awali hawa majambazi walikuwa ni wadau wa baadhi ya ma polisi, sasa wamedhulumiana wakawategeshea na kuwaua. Ni mawazo tu, ila inaweza kuna chembe ya ukwel, tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!!

hao ndio polisi std vi. Rushwa, unyanyasaji, wizi, ubambikaji n.k
 
Good job! Jambazi hastahili kupewa nafasi ya kuishi. Ila tu isiwe kisingizio cha kuzombe raia wema
 
Tukubaliane kama itathibitika bila kuacha shaka kwamba hawa jamaa waliowawa ni majambazi au hata walikuwa wanawasaidia majambazi basi Polisis hawana lawama, nawapa BIG UP.

kwa mtu ambaye umeshaibiwa na unajua uchungu wakuibiwa hutachelewa kutoa jibu, lakini kama hujaibiwa unaweza kuongea unavyotaka na wote maoni yenu NAYAHESHIMU.
 
stupid police kabisa
kama hakukuwa na resistance kwann wasiwatengue viuno na miguu
wangewakamata na kujua mtandao wao

wewe raia acha upumbafu na ushamba. Je, unajuaje kuwa hao majambazi hawakuwa na silaha? Je, ni askari wangapi wameuawa na majambazi? Hao polisi wanao watu wa INTELIGENSIA wanajua mtandao ulivyo ndo mana wakaamua wawahi mapema. Je, majambaz yangewatangulia polisi nao wangewatengua viuno. Hivi wew unadhani unaweza ukawa na amani bila jeshi la polisi? Imagine waende likizo 5hrs mtaani kutakalika au na wewe utakuwa jambazi pia! Acha polisi wetu wafanye kazi, 2epuke lugha za kitoto! Big up POLISI.
 
hao ndio polisi std vi. Rushwa, unyanyasaji, wizi, ubambikaji n.k

wewe ni bachelor holder wa kozi gani? Mtaongea mengi ya kipumbavu wao wanafanya kazi zao. Kwa taarifa yako 40% ya askari polisi elimu kuanzia Diploma na kuendelea, tena sahivi kuna wengine wanasoma PhD. Tena wewe ndo std 4 ya zamani.
 
Good job! Jambazi hastahili kupewa nafasi ya kuishi. Ila tu isiwe kisingizio cha kuzombe raia wema

nenda kasome sheria huenda itakusaidia.mtuhumiwa hana hatia mpaka mahakama imtie hatiani pasipokuwa na shaka..waliuliwa ndugu zetu wa mahenge wakiambiwa majambazi kumbe polisi ndo waliokuwa majambazi
 
Back
Top Bottom