Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

Tutaanza kukuweka wewe mental rehab then under construction

Muhujumu uchumi ni wewe kada Wa gamba LA kijani

Tuanze kunyonga walio sign hiyo mikataba then tuje na ww mwehu

Wahujumu uchumi ndiyo wanapewa ulaji mawizara,Unaibu gavana, halafu mijitu huku mitandaoni inasifia upuuzi tu
 
ACACIA wanatupiga, mchanga una asilimia tano na tisini na tano inabaki migodini CCM walisign hii mikataba ACACIA wakaimiliki kwa mujibu wa sheria, sasa tundulisu mnamvua nguo kivipi au mnata kusema tundulissu alisignisha hii mikataba.

Usibishane nyumbu wanuka midomo Wa Lumumba

Wenzao wanapiga ndefu wao wanatetea
 
Badala ya kuwalaumu mashetani yaliyoingiza nchi kwenye mikataba ya kishetani eti unamlaumu Tundu Lissu.....

Huu ni uzwazwa kabisa
 
Nani aliwaleta hao wazungu???

Mkuu wengine kama akina Kalemani wakipewa ulaji kwenye hiyo Migodi Umining director na vijishare kidogo Leo ndiyo Naibu waziri wa Nishati na Madini.

Halafu wako busy na TL.
 
Badala ya kuwalaumu mashetani yaliyoingiza nchi kwenye mikataba ya kishetani eti unamlaumu Tundu Lissu.....

Huu ni uzwazwa kabisa

Mashetani yaliyotuingiza kwenye mikataba mibovu ndiyo awamu hii wamepewa Unaibu waziri wa Nishati na Madini halafu eti TL ataachwa uchi.Duh UVCCM kweli wapuuzi.
 
Amani ya bwana iwe nanyi wakubwa wa jukwaa hili kina iparamasa na wengineo

Ni ukweli usioacha shaka kuwa sasa ile kampuni ya kinyonyaji ya ACACIA wameanza kutapa tapa yaani hawajielewi, kila siku wanakuja na matamko mapya hiyo yote ni baada ya mbinu yao ya kumuhonga rais kukwama, na kukimbilia kwenda kumuhonga Tundu Lissu

Kamati ya pili iliyoundwa kuja na suluhisho kamili ambayo itakabidhi riport yake hapo week ijayo kwa ngosha inaenda kumuacha uchi bila taulo Tundu Lissu na genge lake la kutetea mafisadi na wakwepa kodi wa ACACIA.

Unafiki wa Lissu kujulikana hapo wiki ijayo

Nawasilisha karibuni
Hivi hizo gharama za kamati zinatoka wapi
 
Mkuu wengine kama akina Kalemani wakipewa ulaji kwenye hiyo Migodi Umining director na vijishare kidogo Leo ndiyo Naibu waziri wa Nishati na Madini.

Halafu wako busy na TL.

Tatizo LA hiyo nchi kuna ngo' mbe wengi sana

90% ni cows
 
Unaongelea historia zama hizi za Magufuli?

Zama za Magufuli tofauti yake ni ipi?Ya akina Kalemani na mwenzako Yamungu waliotuingiza kwenye Mikataba na Miswada Mibovu si ndiyo amewapa Unaibu waziri wa Nishati na Madini na mwingine Naibu Gavana?Tofauti yao ipi na akina Mkapa na JK??Labda Visasi na Chuki kwa Wapinzani, lakini siyo kwa waliolifilisi Taifa.

Huu upumbavu peleka Lumumba
 
Kwani kosa la TL hapa ni nn? Ni nani wa kuvuliwa nguo kati ya waliongia mikataba na TL?
 
Hivi aliyewapa Raslimali zetu si mlimpigua makofi sana tu kama mnavyofanya Leo??Hao wanasheria watakuja na ushauri kama wa Lissu sijui mtapiga makofi au mtanuna duh!
Ukweli ni kuwa wengi hamuelewi kabisa core ya huu mgogoro. Hata kama kuna mikataba mibovu na ilipigiwa makofi, je suala la false declaration nalo lipo kwenye hiyo mikataba mibovu? Tufafanulieni basi na sisi tuelewe.
 
Alichokuwa ana kieleza lisu akikuwepo awali kama kikija kitakuja na mapendekezo ya lisu ambayo pia yatapinga mawazo ya magufuli na mapendekezo ya kamati ya awali kama watasema kweli.
Lisu alikuwa anaonya kama nchi na kueleza tatizo sio watu wa leo tatizo liko kwenye mikataba iliyowekwa na watu hao hivyo tatizo hili lisishugulikwe mapendekezo ya wale wa awali bali suluhisho la kisheria
Wakija na lengo la kushambulia wapinzani na kumsifu magufuli badala ya kueleza kweli
Tutanasia hapahapa
 
Aliye tupoteza njia kwa maksudi ama kwa interest zake anao wajibu mkubwa wa kuturejesha kwenye njia iliyo sahihi na malipo ya ziada kwa kutupotezea mda kuliko yule aliye/anaye shauri njia ipi sahihi inastahili tuipite. Naye huyu aliye tupoteza hastahili kupewa pongezi kede kede kama inavyo wapendeza wajakazi wake. Alitukosea sana na bado anazidi kutukosea kwa kutaka tumshangilie na kumtukuza kwa kujaribu kurekebisha makosa aliyo tutendea,ndiyo kusema tumshangilie kwa sababu tumesha sahau alivyo tupoteza njia? Tungelikuwa wapi kwa mda huu wote tulioko kwenye mkwamo huu? Kwa maana aliambiwa toka awali kuhusiana na njia atupitishayo kuto kuwa salama na kuing'ang'ania kwa nguvu zoote. Leo anataka sifa eti! Basi sawaaa
 
Hahahhahaaaaaa,huyu anayewapa ukweli ndio anakuwa msaliti,waliotia saini wazalendo!

Mkuu umejuaje??Maana kwa Mzalendo wao kwa Taifa letu wamezawadiwa Ulaji wa kukaa kwenye viyoyozi na kushika nafasi nyeti.

Viwanda Labda Yesu arudi.
 
Back
Top Bottom