Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

Unashindwa kujua kuwa watakao achwa uchi ni majizi menzako ya ccm ysliyokua yanapitisha mikataba mbali mbali kwa hati za dharura na kuwatoa nje ya bunge wapinzani. Eti Leo bila aibu yanakuja na ngonjera ya tunaibiwa. Aibuuuuuu
 
Nanyupu et al! Siamini kama unakiamini ulichokiandika hapa! Na hata waliokuunga mkono kwenye hoja yako ya tume namba 2 kumuacha uchi Lissu hamjiyambui na hamtambui mnachokitetea.

Tume no.2 inakuja kuwazoa watu wote waliohusika na sakata la madini na mikataba yake. Lissu hakuhusika kuiandaa wala kuisaini. Anavuliwaje nguo hapo?

Kusema kuwa kahomgwa ili kuwatetea acaccia utuambie wewe kiasi cha fedha alizohongwa kama ulivyotutajia alizokataa kupokea mkulu.

Isitoshe huyi aliyezikataa alishindwa nini kumtaja na kumkamata aliyetaka kumhonga ili hali aliapa kuilinda na kuitetea katiba? Takukuru wapo au wamekwenda hijja? Ni kwani hawajamkamta Lissu na huyo aliyemoelekea mkataaji bilioni 300 ili kubalance taarifa? Acheni kupayuka humu wakati hamjaweza kujisitiri vema!

Na huyo anayeasisi huu uchafu wa propaganda za kipumbavu hapo Lumumba st haitendei haki nafasi yake. Au lengo menu ni lipi? Kupandisha bei ya bia na petroleum ili tusije mjini?
 
With due respect Honourable nanyupu nikukumbushe kuwa wakati tunaingia hii mikataba, ni hao akina Lissu waliopiga kelele sana kwamba tumakosea ! Cha msingi kama tumegundua kuwa kuna walakini basi tushirikiane kulitatua hili, kwani walishatutahadharisha mapema!
 
Twaisubiri kwa hamu mno, ikate mzizi wa fitina kwamba mchanga waibiwa au la, je yale madini wanayodai yana thamani yanaondoka na ndege kweli au la bila kuchekiwa, je twadai mchanga kumbe kuna tofali za gold zinaondoka kiulani?!
Yetu macho na masikio...
 
Duh.....kumbe lengo ni kumvua nguo Lissu!

Sasa hizo sheria za madini wakati mnazipitisha bungeni kwa mbwembwe na kwa "manufaa ya taifa" imejuwaje mara hii hazifai? Na bado, kuna zile sheria za gesi nazo zilipitishwa kwa hati ya dharura!

Kuwa mpinzani nchi hii ni dhambi kubwa sana. Wenye nchi wanaamini ni wao tu ndio wana "monopoly of truth".
 
Kiasi fulani namkubali sana lowassa, kawafanya watu kama kina tundu lisdu & Co., waonyeshe rangi zao halisi.
 
Unahangaika na mchanga wakati dhahabu inasafirishwa kwa ndege toka migodini na kwenda ughaibuni . Wew hunazo kichwani. Ukitaka kupambana na wizi wa hio dhahabu Anza kwanza na ile inayobebwa na ndege toka migodini.
 
Hujawahi kuona Mwanasheria mbovu kama tundu lisu hata a Mimi nakuunga mkono lakini umekosea jina ni werema siyo lissu kwani hao ndo waliingia mikataba mingi ya kifisadi katika nchi yetu nakumbuka kauli ya werema bungeni ya kejeli kuwa wengine wamepewa vichwa Kwa ajili ya kuwekwa nywele tu siyo ajili,

Leo hii unasema ripoti ya madini itamuacha uchi lissu uchi ,Kwa lipi!yy ndo alitayarisha mchakato Wa kusainiwa mikataba ya kifisadi,yeye alitoa maoni yake kama hamtaki acheni endeleeni na mchakato yenu msimtupie zigo bovu mlilolianzisha wenyewe,kwani mtawala ndo mwenye maamuzi yote na kila kitu ndani ya nchi hii ni Mali ya rais!na halazimishwi na MTU yyt!
 
Umeandika nini sasa? Yaani rais anataka kuhongwa, harafu wahongaji hawakamatwi?
Tuambie what is the price tag of the president?
 
Duh.....kumbe lengo ni kumvua nguo Lissu!

Sasa hizo sheria za madini wakati mnazipitisha bungeni kwa mbwembwe na kwa "manufaa ya taifa" imejuwaje mara hii hazifai? Na bado, kuna zile sheria za gesi nazo zilipitishwa kwa hati ya dharura!

Kuwa mpinzani nchi hii ni dhambi kubwa sana. Wenye nchi wanaamini ni wao tu ndio wana "monopoly of truth".
CCM wengi ni wa ajabu wao wanaimini Wapinzani ni maadui kumbe Adui wa Taifa ni wabunge wa CCM wanaopitisha mikataba mibovu kisha kuja kufukua makaburi ili watoe vitu alivyozikwa navyo marehemu mikataba ya madini
 
Umeandika nini sasa? Yaani rais anataka kuhongwa, harafu wahongaji hawakamatwi?
Tuambie what is the price tag of the president?
Wametengeneza blackmail kama ile ya Bashite ya dawa za kulevya yaani sasa Wajanja wanakula Rishwa kontena zinasafirisshwa kwenda Rwanda Uganda na kupitia bandari ya mombasa kenya na zingine zinasafirishwa kimya kimya kupitia bandari ya Dsm,
 
Sio kwamba itawaacha uchi walioingia hiyo mikataba (JK, Ben) bali TL!?
 
kwani lissu ndio aliingia mikataba na wawekezaji?
Mikataba ya wizi ilitengenezwa na wabunge wa CCM cha ajabu wanataka kumbambikia Lisu Uzushi wakidhani watanzania ni wajinga hawajui kuchambua pumba .
 
Back
Top Bottom