USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
Kila jambo lipo bayana sasa kubwa yeye ndio kuidhinishaji mkuu ,yeye ndio ameleta haya kwa kauli zake
'kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake 'kauli ya kuchochea wizi na ufisadi.
"Kulamba asali " kauli za kuchochea mioyo ya tamaa kwa mali za umma.
"Sitaki kodi za dhurma"kauli za kuwaachia maafsa wa TRA wapige dili wa wadaiwa hakuna offense.
"Waachie ngazi,watupishe "kauli za kushindwa kuchukua hatua na kusababisha mizozo mpaka muda huu haieleweki nani apishe na kwa nini?
Rais wetu ndio alichukua nchi kutoka kwa JPM na report ya CAG mwaka jana lawama zote alipewa marehemu walioiba wakaishia kama kafa shoga vile maisha yaendelee saa ni dhahiri kuwa shida iko kwa rais mwenyewe.
Kwa mujibu wa katiba yetu ni bora yeye mwenyewe ajitokeze ajiuzulu tuitishe uchaguzi mpya sio kuja anajificha
1. Kwanini mpaka sasa ameshindwa kuchukua hatua na bado yupo ikulu na pesa zetu zinaliwa ?
2. Kwanini alikimbizie bungeni na wote aliwateuwa yeye bila kuwauliza hao wabunge?
Rais Samia ajiuzulu kulinda hadhi ya IKULU sio kujificha na kupeleka bungeni ili waziri mkuu abebeshwe mzigo
USSR
View attachment 2578954View attachment 2578956View attachment 2578957View attachment 2578958View attachment 2578959