Ripoti: mabinti waliokutwa wakiishi katika nyumba moja Jijini Dodoma kwa madai ya kupatiwa mafunzo ya dini ya Kiislamu

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,943

Ripoti ya awali ya ufuatiliaji wa sakata la mabinti waliokutwa wakiishi katika nyumba moja Jijini Dodoma kwa madai ya kupatiwa mafunzo ya dini ya Kiislamu, imebainisha kuwa baadhi yao walikatisha masomo, kubadilisha majina na kituo walichokuwa wakiishi sambamba na kutokuwa na leseni ya usajili.

Kutokana na ripoti hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameelekeza watoto hao 132 kukabidhiwa kwa wakuu wa wilaya walizotoka na kuendelea na masomo huku hatua mbalimbali za kisheria zikiendelea kuchukuliwa.
SOURCE: Azamtv
 
View: https://www.instagram.com/reel/C2-X22UL1JK/?utm_source=ig_web_button_share_sheet&igsh=ZDNlZDc0MzIxNw==

Wachunguzwe mmoja mmoja ili serikali ijue nini walikuwa wanafanyishwa kwenye hayo makazi, kunaweza kukaibuka mambo zaidi ya kinachoonekana.
 
GD7Z_J_W4AAW-Hl.jpg
 
Kitengo chetu cha Upelelezi na Ushushushu kimeshindwa kubaini mpaka idadi kubwa ya watu 132 wanajikusanya kwa lengo lisilofahamika?

Wachunguzwe hao, huenda wanafundishwa uovu na hata ugaidi.

Wawafunue nyuso ili wajulikane ni akina nani na jamii itoe ushirikiano. Itawaepusha vijana wa hovyo akina Maghayo na ulaghai.
 
Maghayo unaitwa huku fanya chapu
 
View: https://www.instagram.com/reel/C2-X22UL1JK/?utm_source=ig_web_button_share_sheet&igsh=ZDNlZDc0MzIxNw==
Ripoti ya awali ya ufuatiliaji wa sakata la mabinti waliokutwa wakiishi katika nyumba moja Jijini Dodoma kwa madai ya kupatiwa mafunzo ya dini ya Kiislamu, imebainisha kuwa baadhi yao walikatisha masomo, kubadilisha majina na kituo walichokuwa wakiishi sambamba na kutokuwa na leseni ya usajili.

Kutokana na ripoti hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameelekeza watoto hao 132 kukabidhiwa kwa wakuu wa wilaya walizotoka na kuendelea na masomo huku hatua mbalimbali za kisheria zikiendelea kuchukuliwa.
SOURCE: Azamtv

BAKWATA wanasemaje
 
Back
Top Bottom