Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Huyu Subhash si ndo wale mafisadi papa watno walotajwa na mzee Mengi
Hakutajwa ila ni hatari kuliko wale waliotajwa!!! Nasema ni hatari!!! Ni rafiki wa mfalme kuliko ambavyo mnafikiri yule Rost Tamu!!! Rost Tamu aliikuwa introduced kwa mfalme kupitia mamvi!!!! Na kwa hakika swahiba wa ukweli wa mfamle ni Subash!!
Kwa upande wa UVCCM si unajua inatumika sana as mobilising agent!!! Wanapitia pale na wanahakikisha aliye Mwenyekiti ni lazima awe mpambe wa Chama hasa kwa kundi lile lenye nguvu!!! Yule Waziri wetu aliyekuwa na Dr ya kutatanisha ambaye ameisafisha kwa tabu anajua hili maana alifanya kazi kubwa sana na ndiyo maana hata aharibu vipi ni lazima ataendelea kuwa WAZIRI TU!!! FADHILA!!! Naye alilipa FADHILA kwa yule aliyemtakatishia academic certificate!!