Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,880
TANESCO hawa hawa?Report ya CAG ya mwaka 2021/2022 imeonesha kuwa Shirika la Tanesco ni moja ya mashirika safi kabisa halina shida yeyote kabisa!
Pamoja na makelele ya watu kuhusu mwenendo wa Tanesco lakini CAG report yake amesema ni shirika safi ....
CAG anaungana na Rais Samia ambaye anaona Tanesco ni shirika lenye tija sana na ufanisi!