TANZIA RIP Profesa Josephat Kanywanyi

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
17,287
10,702
Taarifa ya Msiba.

Profesa wa Sheria UDSM, Josephat Kanywanyi kafariki Jumapili asubuhi tarehe 10.01.2021 Ibada ya kuaga mwili itafanyika Nkrumah Hall siku ya Jumanne saa tano asubuhi. Na Mazishi ni saa kumi jioni makaburi ya Kinondoni.

Msiba upo Nyumbani kwake Survey.

RIP Prof. Bwana alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe Amen.
 
RIP Prof.

Ila ni vizuri taarifa ya kifo ikaambatana na sababu ya kifo.

Pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki wa Professor.
 
Taarifa ya Msiba.

Profesa wa Sheria UDSM, Josephat Kanywanyi kafariki Jumapili asubuhi tarehe 10.01.2021 Ibada ya kuaga mwili itafanyika Nkrumah Hall siku ya Jumanne saa tano asubuhi. Na Mazishi ni saa kumi jioni makaburi ya Kinondoni.

Msiba upo Nyumbani kwake Survey.

RIP Prof. Bwana alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe Amen.
Ni Siri ya mfiwa na familia
 
haya matatizo ya kupumua yanatumaliza kimya kimyaa tuu, jiwe kajificha Chatoo
 
Back
Top Bottom