RIP Eliasi mtiga nkuku (Kamishna wa fedha na utawala Jeshi la Magereza )

Makyomwango

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
322
79
Wana jamii leo hii mkuu wa kaya ameongoza maafisa wa majeshi ya ulinzi na usalama katika kumuaga Kamishna Nkuku ambaye ametutoka hivi majuzi. Jamaa huyu alikuwa mchapa kazi kwelikweli na amekuwa tegemeo kubwa katika jeshi hilo kwani amekua haogopi kuchukua maamuzi magumu. Alikuwa anaijua kazi yake na aliweza kuimudu

R. I . P Kamishna Nkuku
 
Back
Top Bottom