Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

Status
Not open for further replies.
Tusidharau maamuzi ya wananchi wa Kalenga na Chalinze. wao ndio wameamua hawa vijana ndio wawe viongozi wao. Majungu yasichukue nafasi ya demokrasia.
Hivi vi-"political dynasties" vina mwisho mbaya. Angalia kinachotokea nchi za Waarabu sasa. Kule Libya, Syria, Iraq,..., kote wameishia kuchinjwa tu baada ya watu nchi hizo kuwachoka.

Ninyi endeleeni kuiita hii ni democrasia!
 
Huu ndio utawala wa kifalme maana sasa mtoto amepata kinga ya kila kitu, hata akutwe na sembe yaani ana kinga ya ubunge halafu, mbona wanafunzi ndio wanasimamia kura? Nasikia pia shule ilifungwa kupisha shughuli ya kumpitisha mtoto wa mfalme ili aende bungeni, ila mjue ccm imekuwa chama cha kifalme, angalieni watoto wote wa vigogo ndio viongozi wakubwa nchi hii, chezea ccm.
Wamaskini unganeni ili muwangushe hao masultani maana hakika itakuwa kiama kwa wamaskini kuendelea kutawaliwana milele.
Ccm ni genge la waujai na wahuni, shame upon.
 
Majuzi Sioi Sumari, Jana Godfrey Mgimwa, leo Ritz Moko.......... Hii ndo CCM Chama Cha Mafalme........ Ni mwendelezo wa Vitor Kawawa na Dada Yake, Sokine and Family, Mwinyi and Family, Kigoma Malima and Familiy, Mathayoo David Msuya and Family........... Mnaweza kuongezea ntarudi na Majina ya CDM and Familiy
 
Ridhione kikwete amishinda kwa kishindo uchaguzi wa kura za maoni huku akiwaacha wapinzani wake kwa mbali katika uchaguzi huo uliojaa vuta nikuvute nyingi lakini hatimaye ameibuka kidedea WAITWAO NI WENGI ILA WATEULE NI WACHACHE JE UNATAKA KUJUA KURA ZILIKUWAJE TIRIRIKA HAP

Riz kura 758
Madega 335
Maneno 206
mkwanzu 12
Kura zilikuwa1363
Haribika 5
Halali1316

Kwa rugha Nyepesi CCM inakura 1,316 katika uchguzi wa Ubunge Karibuni saana MA-CHADEMA chalinze Mje mpokee aibu TASILIMU AKA AIBU KESHI...

kwa nini umeona ni chadema tu! Ni mtu mjinga tu anaeweza kuwa na mawazo kama wewe... Ndo maana unajiita JINI MAHABA... Unawaza NGONO TU ZA MAJINI!
 
nakumbuka hata bushi baba na bush mtoto kule marekani wameshakuwa marais. hata karume baba na mtoto. sioni cha ajabu kwa riz1.
 
Hivi vi-"political dynasties" vina mwisho mbaya. Angalia kinachotokea nchi za Waarabu sasa. Kule Libya, Syria, Iraq,..., kote wameishia kuchinjwa tu baada ya watu nchi hizo kuwachoka.

Ninyi endeleeni kuiita hii ni democrasia!

Tuseme Picha za wananchi wakipiga kura hukuziona au? Mungu aepushie mbali hayo ya Syria hayatafika huku Inshaallah!
 
Rafiki yangu Madega masikini naye amebadilika kuwa mchumia tumbo. Hayuko CCM kwa mapenzi yake, anatafuta "kula" lakini bahati mbaya kila uchaguzi anaangukia pua.

Tiba
 
Ridhione kikwete amishinda kwa kishindo uchaguzi wa kura za maoni huku akiwaacha wapinzani wake kwa mbali katika uchaguzi huo uliojaa vuta nikuvute nyingi lakini hatimaye ameibuka kidedea WAITWAO NI WENGI ILA WATEULE NI WACHACHE JE UNATAKA KUJUA KURA ZILIKUWAJE TIRIRIKA HAP

Riz kura 758
Madega 335
Maneno 206
mkwanzu 12
Kura zilikuwa1363
Haribika 5
Halali1316

Kwa rugha Nyepesi CCM inakura 1,316 katika uchguzi wa Ubunge Karibuni saana MA-CHADEMA chalinze Mje mpokee aibu TASILIMU AKA AIBU KESHI...
watu watakunyima hela na chakula lakini sio maneno.
Nasikia huyu bwana mdogo ndo alimkata kidizaini flani, aliyekuwa mbunge hapo, achukue jimbo kiulaini!
 
Hivi vi-"political dynasties" vina mwisho mbaya. Angalia kinachotokea nchi za Waarabu sasa. Kule Libya, Syria, Iraq,..., kote wameishia kuchinjwa tu baada ya watu nchi hizo kuwachoka.
Ukisema watakuambia kwa kejeli Siasa za Waarabu tofauti na za TZ..........
 
Madega huyu huyu wa Yanga au mwingine. kama ni huyu wa yanga basi ritz noumer, alimfanya afukuzwe yanga now amemkosesha ubunge. ila asijali bado anaturufu halimashauri kuu ya chama huenda ikam-pick wa pili
 
Ridhione kikwete amishinda kwa kishindo uchaguzi wa kura za maoni huku akiwaacha wapinzani wake kwa mbali katika uchaguzi huo uliojaa vuta nikuvute nyingi lakini hatimaye ameibuka kidedea WAITWAO NI WENGI ILA WATEULE NI WACHACHE JE UNATAKA KUJUA KURA ZILIKUWAJE TIRIRIKA HAP

Riz kura 758
Madega 335
Maneno 206
mkwanzu 12
Kura zilikuwa1363
Haribika 5
Halali1316

Kwa rugha Nyepesi CCM inakura 1,316 katika uchguzi wa Ubunge Karibuni saana MA-CHADEMA chalinze Mje mpokee aibu TASILIMU AKA AIBU KESHI...
watu watakunyima hela na chakula lakini sio maneno.
Nasikia huyu bwana mdogo ndo alimkata kidizaini flani, aliyekuwa mbunge hapo, ili achukue jimbo kiulaini!
 
kwa nini umeona ni chadema tu! Ni mtu mjinga tu anaeweza kuwa na mawazo kama wewe... Ndo maana unajiita JINI MAHABA... Unawaza NGONO TU ZA MAJINI!

hata ningesema CUF ungeuliza umeona CUF tuu nimesema Chadema kwa sababu Chadema ndio chama Kipo Foolish AGE kinajifanya kinajua kila kitu na Kimejawa na kiburi hata kipopata chopa tatu kwa kata tatu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom