Rich Land ni kampuni ya nani ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wakuu nimeambiwa kampuni ya Tanzanite one imesha kufa rasmi na imekuja Rich Land amabyo kuna mtoto wa mkuu mkoja ana hisa 40 humo sasa nauliza inakuwaje wanajigeuza tena badala waendelee baada ya kuachiwa miaka 5 ? Naomba kujua hivi nani ni Rich Land ?Wewe wamjua ?
 
funguka mkuu...

ulitaka kusema ni ya nani..Rich wa Monduli siyo????:gossip:
 
Mbona hii watu wanasema ni ya Ridhwani Kikwete na yeye bado hajasuta? Tanzanite one muda wake umemalizika na ndio wamechipukia na hii wazo la kuwashirikisha watoto na watawala wetu katika ubia ili waendelee kuuza tanzanite zetu. Upo hapo?
 
Back
Top Bottom