Revenge: Yanga yamsajili Mudathir Yahya

Chukwu emeka ile season ya comedy naona 2023 ikiwa imefana

Baada ya kumkatibisha Kambole kwa utambulisho wa aina yake (kumvisha taulo)

Naona leo mmeamua mje na Mudathir kuziba gape la Feisali tena kwa mikogo ya bomu kama intro

Kama mwanzo wake ndio hivi aiseee huu mwaka tutashuhudia mengi sana
Season ya comedy bado inaendelea
 
Chukwu emeka ile season ya comedy naona 2023 ikiwa imefana

Baada ya kumkatibisha Kambole kwa utambulisho wa aina yake (kumvisha taulo)

Naona leo mmeamua mje na Mudathir kuziba gape la Feisali tena kwa mikogo ya bomu kama intro

Kama mwanzo wake ndio hivi aiseee huu mwaka tutashuhudia mengi sana
Tangu apigwe umekua na adabu! siku hizi hauropoki
 
Hawa Utopolo ile timu utadhan Misukule yao ni Wapemba. Timu utadhan ina bond na muungano. Akina Ninja wako pale wanakula Penshen tu sasa wanamleta Mudhathir ili wazibe pengo la Mzanzibar Fei Toto naona Mzee Karume aliacha Wosia wa 50/50 ya Bara na Visiwani
Kila nilisoma hii comments na nikiangalia mudatjiri anavyokiwasha kweli kila jambo lipe mda
 
Back
Top Bottom