Revealing: Wanufaika wa akaunti ya Tegeta Escrow kupitia Stanbic wameshajulikana (Clue 3)

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Naam wakuu,

Kesho baada ya maswali na majibu kama mlivyofahamishwa kwenye thread nyingine; PAC watasoma ripoti yao.

Spika ameshauriwa vema na sasa umma utapata kujua mbivu na mbichi.

Yawezekana wengine mkakatiwa umeme, yawezekana vituo vingine visirushe lakini tutajuzana hapahapa JF. Wale wenye simu zinazopata mtandao ziwekeni chaji ya kutosha.

Hii ni brief tu, haionyeshi majina wala details zaidi (tunaliachia Bunge lifanye kazi yake)
attachment.php
 
Attachments

  • 1416936739007.jpg
    1416936739007.jpg
    84.2 KB · Views: 17,965
Kesho kila mtu abebe charger......earphones ......macho yasikosekane JF maana najua mods watakuwa macho ili JF isisumbuliwe na wavamizi wa mitandao kama ilivyotokea kipindi cha kashfa ya Kapuya......mimi kuanzia leo nipo hapa online muda wote hadi kieleweke .......
 
Naam wakuu,

Kesho baada ya maswali na majibu kama mlivyofahamishwa kwenye thread nyingine; PAC watasoma ripoti yao.

Spika ameshauriwa vema na sasa umma utapata kujua mbivu na mbichi.

Yawezekana wengine mkakatiwa umeme, yawezekana vituo vingine visirushe lakini tutajuzana hapahapa JF. Wale wenye simu zinazopata mtandao ziwekeni chaji ya kutosha.

Hii ni brief tu, haionyeshi majina wala details zaidi (tunaliachia Bunge lifanye kazi yake)

No Names ??? just Account #'s ???
 
Huku hakuna kitu

statement iko empty kama nini

kiboko yao ni ile ya Rugemalira
 
Ingekuwa vyema ukatudadavulia na hayo majina mkuu

Hukusoma saikolojia wewe wala kujua namna inavyotumika nyakati kama hizi!!!

Acha iwekwe hivyo hivyo, nadhani wanaofurukutwa mioyo ushaanza kuwaona wanakimbilia mahakamani....
 
Just to let you know sasa kila kitu kipo in place. Majina ya huku yakionekana sasa kuna watu watabaki midomo wazi.

Kesho tutapata majibu ya nini kipo nyuma yake

Kwasababu, Jana REPORT nyingine ilionyesha MAJINA ya Baadhi ya waliokatiwa hizo pesa...

Ok, Tutasubiri hiyo Kesho... Thanks
 
Back
Top Bottom