Revealed: How `Men of God` traffic drugs

A country cannot operate on allegations and hearsay, a senior police officer with evidence of how a crime is committed without taking proper action is ignorant, incompetent and not worthy of a public trust. A person with a half brain if given Nzowa's job would have at least announced the day, time, place and names of the arrested citizens/bishops and the circumstances of their arrest. Jamani bongo imeoza inatia aibu aibu aibu, nyie wenzetu mlioko huko nje tafadhali acheni kujitambulisha kama watanzania, aibu aibu aibu aibuuuu!
Mr Dash, mimi nakusupport 100%, hii nchi inatia aibu. Kwakweli kwa viongozi wa dini kutumia mwanya walionao katika jamii kwa kuua jamii, ni aibu nyingine kubwa. Mimi siku zote huwa nashangaa utajiri wa baadhi ya hao viongozi wa madhehebu yanayoibuka kila siku. Kuna muhubiri mmoja Tanzania alishawahi kusema kupitia katika TV moja wakati wa sikukuu ya Christmas kuwa masikini hana nafasi mbinguni. Na huyu ni kiongozi ambaye ana mali nyingi na hata anamkono katika serikali yetu. Mtu kama huyo kweli anaupako wa Mungu!!! Mambo yanayoendelea Tanzania ni aibu sana. Waogope wahubiri wa Nigeria ambao wengi wao ni matajiri sana.
 
Tatizo la msingi hapa ni serkali kushindwa kutimimiza majukumu yake na siyo maaskofu/wachungaji/ wanigeria wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa. kama serkali ipo na inafanya kazi yake basi wote hao wangekuwa wamekamatwa kihalali kulingana na misingi ya kidemokrasia na haki za binadamu na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Raisi wa nchi anaishia kutuhumu mbele ya umma baadhi ya raia wake kuhusika na uharifu bila kuchukua hatua. Hapo ndipo panaposhangaza na kuzua maswali mengi, je anatania? au anataka kuwachafua tu hao watuumiwa wake? Baya zaidi ni pale mmoja wa maafisa wake wa polisi anapojitokeza na kudai kukamatwa kwa watuhumiwa hewa kwa maana kwamba hawataji majina, walikamatwa wangapi na wapi? haki zao za kimsingi kama dhamana au kupata usaidizi wa kisheria (lawyers) zimelindwaje? kwa nini jamii isiwepo habari juu ya kukamatwa kwao?

Hili tukio ukilichanganyua kwa kina utaona kuwa raisi na serkali yake wanafanya usanii, lile hasa wanalolitenda au wamekusudia kulitenda hawalisemi waziwazi. Serkali ya namna hii isiyowazi ni hatari kwa usalama wa nchi na mshikamano wa raia ( A threat to national security and cohesion)
 
This is a bogus thread. Nzowa or what ever his name is , he is not telling the truth. Which country's visa is one Million, let us be real? Nzowa continued to say that a delegation of ten people plus a clergy were arrested with 81 Bricks!! The style of transporting 81K in a Virgin Mary statue does not make a sense. Drug dealers used such ways in the 80's and not now. 81K in a statue of Mary!! I bet the size of statue was double of a human? Nzowa continued to say that the clergy uses religious invitations to obtain visas. Does it means that regular people nowadays don't get/obtain visas? Please let him put his findings together before saying anything.

This all story does not make a sense.
 
Si mchezo.... tupo ukweli wenu nyinyi. sina kibao na mnajisifia kila siku mnajenge zahanati,shule,hospital na nk kwa michango ya wana kanisa... kumbe ukweli ni hela zinatokana na biashara ya unga....hiyo ni mwanzo wa mwisho wenu....
 
wewe na wenzako kaeni mkijua kwamba hamtaweza kutufanya chochote,hawawezi kuharibu watu wa vikanisa visivyojulikana halafu ninyi na rais wenu mnataka kugeneralize issue!
Jaribuni kuongea vitu vinavyoeleweka
 
Which country is that a person has to pay one million Tsh for Visa? I have been in Asian (Indonesia) I paid only $50 for Visa, Europe for shengeni Visan is not $75. USA including the sevis payment is not more than $400 how comes they paid one million each??? Again Nzowa must tell Mangi's allegation towards police about drug how it went?? I think they must stop this nonsense and deal with drug dealers appropriately
Habari Mkuu, mzima? nina hitaji unisaidie taarifa juu ya jambo uliloandika hapa, kama hutajali niruhusu niulize tafadhali.
 
Back
Top Bottom