EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Watu wanautafuta Uraisi kuanzia mbali sana!
Kama na mie ningekuwa Rais kitu cha kwanza ambacho ningefanya ni kupiga marufuku usafiri wa bodaboda.
Watu wanautafuta Uraisi kuanzia mbali sana!
Hii nchi itaongozwa hadi na mazuzu.
Ni kawaida yake. Last year, aliiba sehemu ya kitabu cha msomi, Acemeglu na kuandika makala kwenye gazeti moja... Kuhusu maendeleo, watu kadhaa walimsifia... Lakini, ilikuwa copy-work piracy ya Hali ya juu... Neno kwa neno... Kutoka Kiswahili kwa kiingereza!!!! Ati anataka awe Rais wa Tanganyika!!!!!!katika kupitia pitia mitandao kuna story nimeikuta wafukunyuku wa mambo wamebaini speech aliyoitoa Dr.Kigwangala ya kutangaza nia kutaka kugombea Urais kumbe ameicopy Speech nzuri iliyowahi kutolewa na Rais Barrack Obama aliyoitoa huko Boston Marekani 27 July 2004.
Yenye title "OUT OF MANY ONE"". Kwenye mkutano wa NATIONAL DEMOCRATIC CONVENTION .alichokifanya Dr.Kigwangala ni kuibadilisha Speech hiyo kua ya Kiswahili..
hili mnalionaje wenye akili timamu.
Kwa nini watu mnahangaika sana na huyu mtu...si mumdharau tu muachane naye?Ni kawaida yake. Last year, aliiba sehemu ya kitabu cha msomi, Acemeglu na kuandika makala kwenye gazeti moja... Kuhusu maendeleo, watu kadhaa walimsifia... Lakini, ilikuwa copy-work piracy ya Hali ya juu... Neno kwa neno... Kutoka Kiswahili kwa kiingereza!!!! Ati anataka awe Rais wa Tanganyika!!!!!!
kama anacopy mpaka hotuba hatufai atakuwa raisi wa kucopy kila kitu kutoka nje ukweli kabisa ccm hakuna mwenye sifa ya kutegemewa kuja kuwa raisi 2015 wote ni mafisadi wakubwaLabda tumuite HKigwangalla humu aje aseme ilikuwaje akashindwa kutengeneza hotuba yake binafsi!
Nadhani kuna watu wanamuogopa mpaka wanaamua kumshambulia kila kona. kwa sababu nimeisoma hotuba yake na ya Obama na kubaini kuwa alichonukuu ni maneno e pluribus unum na hayo hata Obama naye hayakuwa yake, yapo kwenye nembo na mihuri ya serikali ya marekani...maana ningeshangaa sana atumie hotuba iliyoandikwa na mmarekani kwenye mazingira ya kutangaza nia Tanzania halafu ifanye kazikama anacopy mpaka hotuba hatufai atakuwa raisi wa kucopy kila kitu kutoka nje ukweli kabisa ccm hakuna mwenye sifa ya kutegemewa kuja kuwa raisi 2015 wote ni mafisadi wakubwa
Mama yako ana mume?
Watu wanautafuta Uraisi kuanzia mbali sana!
Hivi kwani kila siku anavyohutubia huwa ana-copy kwa nani? Maana huwa anahutubia na kukubalika sana Bungeni. zaidi ya mara 3 hivi nimeshuhudia akipata 'standing ovation' ama mara zote hizo huwa anamuiga Obama? Huyu kijana ana convincing powers za kutisha, ana elimu, ujuzi na uzoefu wa kuzungumza na kushawishi kwa kuwa amekuwa kiongozi kila alipopita na mara nyingi amekuwa ni mwenye ushawishi wa hali ya juu hata kuanzisha migomo mizito. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. HK ni miongoni mwa wanasiasa mahiri, makini na mwenye kipaji na binafsi yangu ninaamini ni miongoni mwa ambao watafika mbali sana humu nchini na nje ya nchi. mimi ninamhusudu kwa uvumilivu wake, uchapakazi na zaidi kwa misimamo yake isiyotetereka kwenye mambo anayoamini na asiye na unafiki hata chembekama anacopy mpaka hotuba hatufai atakuwa raisi wa kucopy kila kitu kutoka nje ukweli kabisa ccm hakuna mwenye sifa ya kutegemewa kuja kuwa raisi 2015 wote ni mafisadi wakubwa