Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,101
Hayo yalikua maswali ya MR EBBO enzi za uhai wake Bize ni mitaa ya jangwani paleAtakuwa yuko bize,ila sijajua bado bize uko ndo wap?
Hayo yalikua maswali ya MR EBBO enzi za uhai wake Bize ni mitaa ya jangwani paleAtakuwa yuko bize,ila sijajua bado bize uko ndo wap?
Umeonae?Bora umesema, to be honest hata mie cjui huyu mwenzetu ni jinsi gani, bora afanyiwe maombi!
Ha ha ha, Kongosho umeipata hii? Kama vipi uje kuthibitisha mwenyewe. Ehee we Fidel80 huyo Kongosho huwa anaipenda ipi?Ana nyuki mbili msiumize kichwa.
hey chwitiii. halaf mbona unachekacheka sana na mpwa fidel? nitabadilisha mwelekeo wa sredi sasa iviHi darlin'
Ha ha ha, Kongosho umeipata hii? Kama vipi uje kuthibitisha mwenyewe. Ehee we Fidel80 huyo Kongosho huwa anaipenda ipi?
Umeonae?
Namchekea usoni tu honey...moyoni nimemnunia kabisa, afu namfariji manake mafuriko yamebeba kale kanyumba kake ka nyasi....hey chwitiii. halaf mbona unachekacheka sana na mpwa fidel? nitabadilisha mwelekeo wa sredi sasa ivi
Hahahaha zote zipo active
Mie pia nashauri tumsubirie mchungaji aje athibitishe kwa maombi... Fidel amejuaje?Fidel80 kasema eti anazo zote mbili,
mie nimesema bora aje kuthibitisha mwenyewe baada ya maombi ya Rev
wewe unaonaje?
mchungaji atakua Guam,
ushahidi ni haya maneno yake hapo chini,
"There are men in Guam whose full-time job is to travel the countryside and deflower young virgins, who pay them for the privilege of having sex for the first time.
Reason: under Guam law, it is expressly forbidden for virgins to marry.
(Let's just think for a minute; is there any job anywhere else in the world that even comes close to this?) "
*~*~*~*~*~*~*~*~*~*
Mie pia nashauri tumsubirie mchungaji aje athibitishe kwa maombi... Fidel amejuaje?
hey chwitiii. halaf mbona unachekacheka sana na mpwa fidel? nitabadilisha mwelekeo wa sredi sasa ivi
Fidel unataka kusema yeye huwa anamaliza haja zote mwenywe?
Usisahau kuja usiku wa leo tutafanya maombi ya mwili kwa mwili haya ni maombi mapya kabisa
Bora umesema, to be honest hata mie cjui huyu mwenzetu ni jinsi gani, bora afanyiwe maombi!
njoo tutest
Ana nyuki mbili msiumize kichwa.