Restless development

kheee watu tushafunda interview 2 hapa tunangoja kusaini kandarasi tu....si mambo ya manager souther highlands ,manager next generation et al...kaka tushapiga interview
 
hhaaa watu tunapitia kandarasi tuweke siginecha..we wa fainensi wenzio wamefyiwainterview ya pili jana..kama hujaitwa basi kaa utulie chaka kapewe mwingine
 
Kaka interview tayari (japo sina uhakika kwa post zote, ila kwa niliyoomba mimi tayari interview) na imefanyika kitaalamu sana tu
 
ya finance je? Dah jaman

Kama hawajakutaarifu basi ujue imetoka maana kama sikosei jana ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kwa interview awamu ya kwanza huku wengine wakiwa tayari wameshafanya zote 2 na kushuka kandarasi kama anavyodai mkuu hapo juu. Mwenyewe nimeshapiga zote 2 nangoja tu majawabu ya mwisho
 
Jamni mjifunze kuwatia moyo wenzenu ambao hawakuitwa kwenye hizo interview,kama vipi siku moja mtasikia watu wamepata depression na kuanguka chini kwa kujua hajawa shortlisted!
 
Kama hawajakutaarifu basi ujue imetoka maana kama sikosei jana ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kwa interview awamu ya kwanza huku wengine wakiwa tayari wameshafanya zote 2 na kushuka kandarasi kama anavyodai mkuu hapo juu. Mwenyewe nimeshapiga zote 2 nangoja tu majawabu ya mwisho

haaaa waliniudhi kichumba kidogo cha presentation na mambo yao ya kubandika majina milangoni....hahaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom