Rejea: Ripoti ya Tume ya jaji Warioba

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Ni matumaini yangu kwamba kuna waandishi wa habari wengi sana hapa especially wale wa uchunguzi na kujadili mambo makini yaani ya kimfumo.

Ombi: Naomba mufuatilie na kutupa feedback/mrejesho kwamba baada ya ile ripoti ya tume ya jaji Warioba mangapi yakimfumo yamezingatiwa na ni yepi? Mangapi hayajazingatiwa na ni yapi? Ikiwezekana jaji mwenyewe Warioba ahojiwe.

Ni muhimu sana tuwe tuna kawaida ya ku-review vitu ambavyo vilishafanywa otherwise tunakuwa tunatumia nguvu nyingi na matokeo ya mafanikio kuwa machache/madogo.

Angalizo: tuongelee mifumo sio watu.
 
Back
Top Bottom