Rejao Uko wapi?

Kwani yana matatizo gani?
Mme wangu yuko fiti huwa hasumbuliwi na maradhi madogo madogo km hayo bana!

Alafu ww mbona leo unajishuhulisha sana na familia yetu?
Amy yuko wapi?
Yuko hapa anacheka sana.....
Halafu leo kaamu kuja ofcn kwangu kukaa nami muda wote kwa kuwa anafuraha....
@Amyner: Canta niko poa kabisa niko na sweetheart wangu Erickb52 tunafurahia ushindi......mpe hi Rejao
 
Hahaha hahaha,
Wewe umeona mwananetu ni wa kupewa jina km unavochagua ID ya kujiunga na jf???
Mambo ya kifamilia ni tofauti sana na sihasa lol!
Hahahaaaaa aisee lol....
Basi utatuambia tukusaidie kumpatia jina zuri kama langu
 
Heshima yako Big sisy,
Wala huajakosea sisy wangu mambo ya siasa sasa yameshaisha,
Tuko bize sasa tutatafuta mji mzuri dunian ili nilijifungua tukapumzike huko lol!

Na mda huu ndio tunatoka kumwona Dokta then atapuzika kidogo na baadae atakuja kuwapa hi km kawa!!

Ndio maana Rejao hutoa povu kutetea magamba!
 
Hivi Clinic gani mimba ya mwezi mmoja?
Kwa uangalizi wa karibu wa mwanetu!!,
Jaman utakuja kusutwa ww,
Unajuaje umri wa mimba yangu?
Uko tayari kujibu maswali ya mume wangu km akiamua kukukomalia uthibitishe kauli yako shem!!!!
 
Yuko hapa anacheka sana.....
Halafu leo kaamu kuja ofcn kwangu kukaa nami muda wote kwa kuwa anafuraha....
@Amyner: Canta niko poa kabisa niko na sweetheart wangu Erickb52 tunafurahia ushindi......mpe hi Rejao

Hahahah hahhah
Kwenye blue nimecheka sana shem lol!
 
Hahahaaaaa aisee lol....
Basi utatuambia tukusaidie kumpatia jina zuri kama langu

Hahaha hahahha,

Wengi wenye hilo jina ni masharobaro na wanaringa sana,mbaya zaidi ni play boy lol!

Kamati kuu ya familia ndio itachagua jina la mtoto wetu lol!
 
Hahaha hahahha,

Wengi wenye hilo jina ni masharobaro na wanaringa sana,mbaya zaidi ni play boy lol!

Kamati kuu ya familia ndio itachagua jina la mtoto wetu lol!
Erick siku zote wako juu sana....
Kama mnampenda mtoto wenu mpeni jina langu muone atakavyokuwa kichwa
 
Hahaha hahhaha,

Shem Rejao mzima kbs,km unataka aumwe utangoja sana,
Najiandaa kumpa cha mchana kwa raha zake lol!
Cha mchana kitamu kama umeshinda
Lol
Kwanza kwa leo utashangaa hakitoki
 
Erick siku zote wako juu sana....
Kama mnampenda mtoto wenu mpeni jina langu muone atakavyokuwa kichwa
Wala sitaki hilo jina kbs,
Kumbe mtoto atabaki kichwa tu!!!asa hapo kuna uzuri gan!!!

Tukikosa majina ni bora abaki kuwa Rejao junia hahahahha!
 
Cha mchana kitamu kama umeshinda
Lol
Kwanza kwa leo utashangaa hakitoki

kwani chama kinaliwa?

Alafu shem unajua kauli zako tata,kitu gani hakitoki?
Na utokaji wake ww unauongeleaje wakati mie ndie mhusika lol!
 
ama kweli Kipenda Roho..naona dada yangu Canta...unajibu shutuma zote za Broda Rejao

Bora ww umeliona hilo kakangu,
Mapenzi yetu ni ya dhati na ya kudumu tena wakati wote wa shida na raha!

Nimemwambia mme wangu aniachie Eric nimjibu kwa niaba yake coz ni shemeji yangu!
 
Hahaha hahahha,

Wengi wenye hilo jina ni masharobaro na wanaringa sana,mbaya zaidi ni play boy lol!

Kamati kuu ya familia ndio itachagua jina la mtoto wetu lol!

Khaa! Jina tu! Hadi kamati ikae ?
Si mumempe jina la uncle wake Boflo ? Incase a baby w'l be He , if SHE mkiniomba nipendekeze ntafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom