Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,294
- 8,327
Wakuu,
Natambua kuna mjadala unaendelea, ningependa kuwafikishia ujumbe kwa njia ya video wa majibu ya Mhe. Mengi kwa Mhe. Rostam.
Videos hizo zinapatikana hapa:
Na ni hizi zifuatazo:
Nawatakia mjadala mwema.
Baadae hzi zitaunganishwa...
Natambua kuna mjadala unaendelea, ningependa kuwafikishia ujumbe kwa njia ya video wa majibu ya Mhe. Mengi kwa Mhe. Rostam.
Yussuf Makamba amwinda Reginald Mengi, yeye awataja mafisadi Papa rasmi!
Makamba amwinda Mengi Ahoji safari za mikoani Mwandishi Wetu Aprili 22, 2009 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo HUKU kukiwa na shinikizo la kutaka kumuondoa katika nafasi yake Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yussuf Makamba, mwanasiasa huyo machachari, ametajwa sasa...
www.jamiiforums.com
Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi
Mbunge wa Igunga na Mweka hazina wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rostam Aziz, hatimaye amejibu rasmi madai mazito yaliyotolewa na Reginald Mengi kuhusu "mafisadi papa". Tamko hilo rasmi linapatikana katika ukurasa wa 6 wa gazeti la 'The Citizen' la leo Alhamisi, tarehe 30 Aprili 2009...
www.jamiiforums.com
Tamko la Serikali dhidi ya Reginald Mengi na Rostam Aziz
Wakuu JF. Nimesoma kwenye mtandao kuwa Tariki Azizi wa TZ leo angetoa tamko la Serikali Kuhusu Mengi. Tafadhali mlioko nyumbani tupasheni habari kama kalitoa na amesema nini. ===== Rostam Na Mengi: Serikali Yatoa Tamko MONDAY, MAY 11, 2009 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Mh...
www.jamiiforums.com
Videos hizo zinapatikana hapa:
Na ni hizi zifuatazo:
Nawatakia mjadala mwema.
Baadae hzi zitaunganishwa...