kinepi_nepi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 869
- 236
Regia amekuwa akijitahidi sana kutoa habari na matukio muhimu ya chama cha CDM. Namwona anajua nini umuhimu wa habari kuwafikia wananchi kwa wakati na muda unaohitajika. Ameonyesha ari na nia ya dhati ya kufanya hivyo.
Kwa kuwa kitengo cha habari ndani ya CDM kinaonekana kulega lega inahitajikajika kupatikana mtu mahiri na anayeipenda kazi hiyo ili habari zitititrike kwa kasi inayoendana na matukio.
Pendekezo langu ni Regia Mtema (MB) akabidhiwe kitengo hicho aunde safu ya habari CDM. Habari ni muhimu sana kwa ustawi wa chama cha siasa, matukio yote yanahitajika kwa muda na haraka kuripotiwa kwenye vyombo vyote vya habari, na mitandao yote ya kijamii.