Reformation ya Polisi, Suzan Kaganda amekuja wakati sahihi

Mtu wa Asali

Senior Member
May 9, 2022
152
291
Nafasi aliyopewa Suzan Kaganda ni nafasi ya juu sana ndani ya jeshi la polisi. Ni muadilifu na mwenye misimamo. Anakwenda kusimamia nidhamu, utawala na uendeshaji wa Jeshi la Polisi.

Tutegemee kupata Makamanda wa mikoa wazuri wenye ueledi majina yote ya Ma’RPC yatapitia kwake kabla ya IGP hajatangaza.

Mh Rais yuko kwenye kipindi cha kulisuka upya jeshi la polisi. Hii ni ishara njema kuelekea mabadiliko hayo.
 
Huyu anakuja kuwa IGP wa kwanza mwanamke.
P
 
Nafasi aliyopewa Suzan Kaganda ni nafasi ya juu sana ndani ya jeshi la polisi. Ni muadilifu na mwenye misimamo. Anakwenda kusimamia nidhamu, utawala na uendeshaji wa Jeshi la Polisi.

Tutegemee kupata Makamanda wa mikoa wazuri wenye ueledi majina yote ya Ma’RPC yatapitia kwake kabla ya IGP hajatangaza.

Mh Rais yuko kwenye kipindi cha kulisuka upya jeshi la polisi. Hii ni ishara njema kuelekea mabadiliko hayo.
Kuna Dada mmoja alikiwa Staff one kitengo cha usalama barabarani, wakati yuko pale alikuwa mzuri sana kusimamia maRTO alidhubutu hata kuweka namba yake wazi ukikutana na polisi wasumbufu umpigie.
Sasa ni Rpc nadhani Rukwa. Huyu nae ana stahili kuwabkamanda wa kikosi cha usalama barabarani. Jina nadhani ni afande Thiopista Mallya. Aliwahi kuwa Ocd Arusha
 
Polisi imeoza sana,peke yake hawezi
Na pia Polisi ni eneo wapunga Pepo huwingia na kutoka sio mahali pakujiona wewe wa mwisho kusema wakinuwia jambo lao wanaingiza wapunga Pepo unabaki kubweka tu while wapunga Pepo wakimaliza wanakubandika kiapo chakutotoa siri za Jeshi ukishindwa basi wanalala mbele na wewe... Tz shikamoo
 
Nafasi aliyopewa Suzan Kaganda ni nafasi ya juu sana ndani ya jeshi la polisi. Ni muadilifu na mwenye misimamo. Anakwenda kusimamia nidhamu, utawala na uendeshaji wa Jeshi la Polisi.

Tutegemee kupata Makamanda wa mikoa wazuri wenye ueledi majina yote ya Ma’RPC yatapitia kwake kabla ya IGP hajatangaza.

Mh Rais yuko kwenye kipindi cha kulisuka upya jeshi la polisi. Hii ni ishara njema kuelekea mabadiliko hayo.
Hawezi kufanya lolote Kama yupo chini ya IGP ambaye ni "mbovu"
 
Kuna waziri JF tulipiga kelele ateuliwe na JPM na seems alitusikia akamteua Prof Ndalichako upo uzi humu umejaa sifa enzi hizo .... naona sasa zamu ya Kaganda
vp utendaji wa ndalichako mbona ni kituko
 
Back
Top Bottom